Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko bega kwa bega na Qatar na Waislamu wote

    Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko bega kwa bega na Qatar na Waislamu wote

    Sep 15, 2025 02:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye yuko mjini Doha, Qatar kushiriki katika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Kiislamu na Kiarabu, amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko bega kwa bega na ndugu zake Waislamu wote.

  • Juhudi za mhimili wa Magharibi za kuchafua jina la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Juhudi za mhimili wa Magharibi za kuchafua jina la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Sep 14, 2025 04:46

    Wanachama wa Mchakato wa Radiamali ya Haraka wa Kundi la G7 ambazo ni nchi za Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza, Marekani na Umoja wa Ulaya, pamoja na Australia na New Zealand, katika taarifa ya pamoja siku ya Ijumaa walidai kulaani hatua za Iran kuhusiana na eti kuongezeka kwa kampeni ya ukandamizaji unaotekelezwa nje ya mipaka yake.

  • Larijani azitaka serikali za Kiislamu kuchukua hatua dhidi ya jinai za Israel

    Larijani azitaka serikali za Kiislamu kuchukua hatua dhidi ya jinai za Israel

    Sep 13, 2025 08:02

    Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran katika ujumbe wake amezitaka serikali za Kiislamu kuchukua hatua madhubuti na za kivitendo dhidi ya jinai za Israel.

  • Araghchi aikosoa Ulaya kwa kufumbia macho uchokozi wa US, Israel dhidi ya Iran

    Araghchi aikosoa Ulaya kwa kufumbia macho uchokozi wa US, Israel dhidi ya Iran

    Sep 12, 2025 03:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ameyajia juu mataifa matatu ya Ulaya kwa mtazamo wao wa "kutowajibika" mkabala wa uchokozi wa hivi karibuni wa Marekani na Israel dhidi ya Iran, pamoja na vitisho vyao vya kuhuisha maazimio yaliyobatilishwa ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, jambo ambalo anaamini litazidisha tu mivutano iliyopo.

  • Kamanda Mousavi: Wananchi, wanajeshi wa Iran watasimama na Qatar

    Kamanda Mousavi: Wananchi, wanajeshi wa Iran watasimama na Qatar

    Sep 12, 2025 00:18

    Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran amesema kuwa serikali, taifa na vikosi vya kijeshi vya Qatar vinapaswa kujua kwamba, Jamhuri ya Kiislamu na jeshi lake litaendelea kusimama upande wao hadi mwisho.

  • Marais wa Iran na Misri wahimiza umoja dhidi ya uvamizi wa Israel

    Marais wa Iran na Misri wahimiza umoja dhidi ya uvamizi wa Israel

    Sep 11, 2025 03:53

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya Doha yanadhihirisha kutozingatiwa kanuni na mifumo ya kimataifa.

  • Araqchi: IAEA ‘imeridhishwa kikamilifu’ na makubaliano ya ushirikiano

    Araqchi: IAEA ‘imeridhishwa kikamilifu’ na makubaliano ya ushirikiano

    Sep 11, 2025 03:51

    Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) umeridhishwa kikamilifu na vipengee vya makubaliano yaliyofikiwa karibuni kati ya wakala huo na Jamhuri ya Kiislamu.

  • Pezeshkian: Ugaidi wa kuwalenga viongozi wa Hamas Doha umeanika sura halisi ya Israel

    Pezeshkian: Ugaidi wa kuwalenga viongozi wa Hamas Doha umeanika sura halisi ya Israel

    Sep 10, 2025 03:44

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameulaani vikali utawala haramu wa Israel kwa kitendo chake 'haramu, cha kinyama na kinacholenga kuvuruga amani ya eneo,' baada ya utawala huo wa Kizayuni kushambulia ardhi ya Qatar na kuwaua shahidi viongozi kadhaa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas.

  • Iran na IAEA zaafikiana kurejesha ushirikiano; Araghchi aonya

    Iran na IAEA zaafikiana kurejesha ushirikiano; Araghchi aonya

    Sep 10, 2025 03:10

    Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) zimefikia makubaliano yenye lengo la kuandaa njia ya kurejesha ushirikiano kati ya pande hizo mbili.

  • Iran yapongeza mazungumzo 'yenye tija' ya Araghchi na Kallas, yaihimiza EU iachane na mtazamo wa makabiliano

    Iran yapongeza mazungumzo 'yenye tija' ya Araghchi na Kallas, yaihimiza EU iachane na mtazamo wa makabiliano

    Sep 09, 2025 07:36

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema, mkutano wa Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas ulikuwa wenye tija, na kubainisha kuwa hoja na rai mbalimbali ziliwasilishwa katika mazungumzo yao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS