Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Baqaei: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya meli za India ni uharamia wa serikali

    Baqaei: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya meli za India ni uharamia wa serikali

    Jun 13, 2026 02:41

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baqaei amelaani mashambulizi ya kikatili ya Marekani dhidi ya meli za kibiashara za India, na kusisitiza kuwa mashambulizi hayo ya Marekani katika Bahari ya Oman ni uharamia wa serikali.

  • Rais Pezeshkian: Wairani wameungana kuilinda nchi yao dhidi ya vitisho

    Rais Pezeshkian: Wairani wameungana kuilinda nchi yao dhidi ya vitisho

    Jun 12, 2026 12:44

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kwamba taifa litalinda uhuru na mamlaka yake ya kitaifa licha ya kuongezeka vitisho na mashinikizo.

  • Handala yadukua mifumo ya maji ya California baada ya Marekani kushambulia maghala ya maji ya Iran

    Handala yadukua mifumo ya maji ya California baada ya Marekani kushambulia maghala ya maji ya Iran

    Jun 12, 2026 11:23

    Kundi la wadukuzi wanaopinga uvamizi wa kivita wa Marekani limetangaza kwamba limedukua vituo vya maji vya California kama kulipiza kisasi cha moja kwa moja kwa shambulio la anga la Marekani lililoharibu maghala ya maji ya kunywa kusini mwa Iran.

  • Spika wa Bunge la Iran: Ukikiuka majukumu yako, tutatumia lugha tunayoijua vyema

    Spika wa Bunge la Iran: Ukikiuka majukumu yako, tutatumia lugha tunayoijua vyema

    Jun 10, 2026 09:29

    Akijibu uchokozi na ukiukwaji wa mapigano uliofanywa na Marekani, Spika wa Bunge la Iran amesisitiza kuwa: "Ukivunja ahadi na majukumu yako, tutatumia lugha tunayoijua vyema."

  • Iran yaiomba FIFA kuruhusu vitambaa vyeusi vya mkononi katika mechi na Misri sambamba na Ashura

    Iran yaiomba FIFA kuruhusu vitambaa vyeusi vya mkononi katika mechi na Misri sambamba na Ashura

    Jun 10, 2026 04:03

    Shirikisho la Soka la Iran limeomba rasmi ruhusa ya FIFA kwa wachezaji wa timu yake ya taifa kuvaa vitambaa vyeusi mikononi wakati wa mechi yao ijayo ya Kombe la Dunia dhidi ya Misri, ili kuenzi mwezi wa Muharram na tukio la Ashura ya mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (AS).

  • Shughuli ya kumuaga Imam Khamenei kufanyika baada ya siku kumi za kwanza za Muharram

    Shughuli ya kumuaga Imam Khamenei kufanyika baada ya siku kumi za kwanza za Muharram

    Jun 10, 2026 03:47

    Makao makuu ya taasisi yanayosimamia shughuli za kumuenzi shahidi Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, yametangaza kuwa shughuli ya kumuaga na mazishi ya Shahidi huyo yatafanyika baada ya siku 10 za mwanzo za mwezi wa Muharram.

  • Gazeti la Kizayuni: Iran ilikuwa na kauli ya mwisho katika vita vya sasa

    Gazeti la Kizayuni: Iran ilikuwa na kauli ya mwisho katika vita vya sasa

    Jun 09, 2026 11:18

    Gazeti la Kiebrania huko Israel limekiri kwamba nguvu ya Iran imethibitishwa katika majibu yake ya hivi karibuni ya makombora dhidi ya utawala wa Israel.

  • Papa Leo XIV : Uvamizi wa kijeshi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran 'sio vita vya haki'

    Papa Leo XIV : Uvamizi wa kijeshi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran 'sio vita vya haki'

    Jun 07, 2026 03:44

    Kiongozi wa kanisa katoliki Dunia, Papa Leo XIV amesema uchokozi wa kijeshi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran haukuwa "vita vya haki", akisisitiza kwamba itikadi hiyo ya karne nyingi haiendani na uhalisia wa vita vya kisasa.

  • Marekani yawanyima visa maafisa wa timu ya soka ya Iran licha ya majukumu yake kama mwenyeji wa FIFA 2026

    Marekani yawanyima visa maafisa wa timu ya soka ya Iran licha ya majukumu yake kama mwenyeji wa FIFA 2026

    Jun 06, 2026 11:28

    Marekani imekataa kutoa visa kwa maafisa kadhaa wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Iran kabla ya Kombe la Dunia la FIFA la 2026 licha ya majukumu yake kama mmoja wa waandaaji wa tukio hilo la kimataifa.

  • Leon Panetta: Vita dhidi ya Iran imekuwa Vietnam nyingine kwa Trump

    Leon Panetta: Vita dhidi ya Iran imekuwa Vietnam nyingine kwa Trump

    Jun 06, 2026 09:33

    Waziri wa zamani wa Vita wa Marekani ameonya kuwa: Vita dhidi ya Iran vinakuwa sawa na vita Vietnam kwa Rais wa Marekani, Donald Trump.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS