-
Rais Raisi alakiwa rasmi na Rais Yoweri Museveni wa Uganda Ikulu ya Entebe
Jul 12, 2023 12:08Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili nchini Uganda akiendelea na ziara yake ya kieneo barani Afrika ambapo amelakiwa na kukaribishwa rasmi na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa nchi hiyo katika Ikulu ya Entebe.
-
Kenya, kituo cha kwanza cha safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran barani Afrika
Jul 12, 2023 07:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo Jumatano amewasili Nairobi mji mkuu wa Kenya akiongoza ujumbe wa ngazi za juu, akiwa katika ziara ya kuzitembelea nchi tatu za Kenya, Uganda na Zimbabwe.
-
Iran na Kenya zaazimia kuimarisha ushirikiano katika sekta mbali mbali
Jul 12, 2023 07:18Marais William Ruto wa Kenya na Ebrahim Raisi wa Iran wamesisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika sekta mbali mbali. Hayo yamebainika katika hotuba za marais hao leo mjini Nairobi baada ya mazungumzo.
-
Iran na Kenya zatiliana saini hati tano za ushirikiano
Jul 12, 2023 03:54Iran na Kenya zimetiliana saini hati tano za ushirikiano katika nyuga tofauti za mawasiliano, uvuvi, kilimo, afya na elimu ya ufundi, maarifa na matibabu.
-
Video: Rais Raisi apokewa rasmi na Rais William Ruto wa Kenya katika ziara ya kuzitembelea Kenya, Uganda na Zimbabwe
Jul 12, 2023 01:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo alfajiri amewasili jijini Nairobi na kuanza ziara rasmi ya kuzitembelea nchi tatu za Afrika za Kenya, Uganda na Zimbabwe.
-
Rais Raisi aanza safari za kuzitembelea nchi tatu za Afrika za Kenya, Uganda na Zimbabwe
Jul 11, 2023 23:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameanza ziara rasmi ya kuzitembelea nchi tatu za Afrika za Kenya, Uganda na Zimbabwe.
-
Wanadiplomasia: Iran na Misri zimefikia hatua nzuri ya kukurubisha mitazamo yao na kurejesha uhusiano
Jul 11, 2023 05:30Tovuti ya habari ya Al-Arabi Al-Jadeed leo Jumanne imewanukuu wanadiplomasia wa Misri wakisema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri zimefikia hatua nzuri ya kukurubisha pamoja mitazamo yao hususan katika masuala yanayohusiana na maeneo yao.
-
Magazeti ya Afrika Mashariki yaakisi safari ya Rais wa Iran katika nchi za Afrika
Jul 11, 2023 04:50Magazeti na vyombo vingine vya habari vya nchi za Afrika Mashariki vimeakisi kwa mapana safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye leo Jumanne anatazamiwa kuondoka nchini kuelekea barani Afrika kwa ziara ya siku tatu ya kuzitembelea nchi za Kenya, Uganda na Zimbabwe.
-
Safari ya Rais wa Iran huko Kenya, Uganda na Zimbabwe inalenga kuimarisha uhusiano na Afrika
Jul 11, 2023 01:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ziara ya Rais Ebrahim Raisi wa Iran katika nchi tatu za Kenya, Uganda na Zimbabwe ni muendelezo wa sera za serikali za kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika.
-
Safari ya kwanza ya Rais wa Iran barani Afrika baada ya miaka 11
Jul 10, 2023 22:56Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumanne ya leo ameondoka nchini kuelekea barani Afrika kwa ziara ya siku tatu ya kuzitembelea nchi za Kenya, Uganda na Zimbabwe.