-
Iran yathibitisha imekuwa na mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani
May 19, 2024 07:45Ofisi ya uwakilishi ya Iran katika Umoja wa Mataifa imethibitisha kuwa kumekuwepo na mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani.
-
Iran: Marekani na Magharibi hazisiti kukiuka sheria za kimataifa
May 18, 2024 09:11Msemaji wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameasema kuwa sheria za kimataifa zinakabiliwa na udhaifu wa dhamana ya utekelezaji na kusisitiza kuwa: Marekani na nchi za Magharibi kwa ujumla zinakubali sheria za kimataifa kiubaguzi na hazisiti kukanyaga haki hizo kwa kutumia visingizo vya kisiasa.
-
Iran: US inajua ni 'suluhisho la kisiasa' tu ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel Gaza
Jan 30, 2024 23:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Marekani inajua vyema kwamba ni suluhisho la kisiasa pekee ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kumaliza mgogoro unaoikumba Asia Magharibi.
-
US, UK zashambulia vituo vya Ansarullah Yemen kwa sababu ya msimamo wake wa kuwahami Wapalestina
Jan 12, 2024 00:25Marekani na Uingereza zimeshambulia vituo kadhaa vya harakati ya Ansarullah kukabiliana na hatua ya harakati hiyo ya wananchi wa Yemen ya kuzishambulia meli zenye uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, kwa sababu ya vita vya mauaji ya kimbari na ya halaiki unavyoendesha utawala huo dhalimu dhidi ya Wapalestina wa Gaza.
-
Iran na Russia: Marekani inatafuta visingizio vya kupanua uwepo wake katika eneo
Jan 10, 2024 03:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Russia Sergei Lavrov wamesema Marekani inajaribu kubuni visingizio ili kupanua uwepo wake katika eneo. Wanadiplomasia hao wakuu wa Tehran na Moscow wametoa indhari hiyo katika mazungumzo waliyofanya kwa njia ya simu jana Jumanne.
-
Indhari ya balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa kwa Marekani kuhusu vitendo vya kichochezi
Jan 09, 2024 23:12Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha madai ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika kikao cha Baraza la Usalama kuhusu Bahari Nyekundu na kuonya dhidi ya hatua zozote za uchochezi zinazofanywa na Wamarekani.
-
Ubaguzi wa taaluma nchini Uholanzi kutokana na hofu ya vikwazo vya Marekani
Jun 30, 2023 03:15Kufuatia uamuzi wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Uholanzi kwamba kampuni ya nchi hiyo kwa jina ASML inaruhusiwa kukataa kuwaajiri wafanyakazi wake kwa msingi wa utaifa na uraia wao, kampuni hiyo yenye uhusiano mkubwa wa kibiashara na Marekani, siku ya jumatatu ilitangaza kuridhishwa na uamuzi huo uliotolewa kwa maslahi yake.
-
Kamanda: Marekani ilishindwa kuuzuia msafara wa manowari za Iran kuvuka Mfereji wa Panama
May 14, 2023 22:11Kamanda wa jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Naibu Admeri Shahram Irani amesema, Marekani ilishindwa kuzuia kundi la 86 la manowari za Jeshi la Wanamaji la Iran kupita kwenye Mfereji wa Panama.
-
Mwakilishi wa Iran UN akanusha kukutana na mwakilishi wa Marekani
Jan 18, 2023 23:32Ofisi ya Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imekanusha uvumi ulioenezwa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba mwakilishi wa Iran katika umoja huo ameonana na mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran.
-
Gazeti la Uhispania: Mechi ya Iran na Marekani ni mpambano mkubwa wa kisiasa
Nov 28, 2022 08:03Gazeti la Marca la Uhispania limeitaja mechi ya soka ya michuano ya Kombe la Dunia kati ya timu ya taifa ya kandanda ya Iran na Marekani kuwa ni mpambano mkubwa wa kisiasa.