-
SEPAH: Wananchi wa Iran daima wamekuwa wakiifedhehesha Marekani
Oct 29, 2022 23:01Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesisitiza kuwa, kwa kujitokeza kwao vilivyo katika kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu; muda wote wananchi wa Iran wamekuwa wakiidhalilisha na kuifedhehesha Marekani na kuthibitisha kivitendo matamshi ya Imam Khomeini MA kuwa Marekani haiwezi kulifanyia taifa la Iran upuuzi wowote.
-
Kan'ani: Iran na Marekani zabadilishana jumbe baina yazo pambizoni mwa Mkutano wa Baraza Kuu la UN
Oct 03, 2022 08:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa jumbe za uwakilishi za Iran na Marekani zilibadilishana jumbe kati yazo pambizoni mwa Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Spika Qalibaf: Marekani ni mtekelezaji wa sera za Wazayuni katika eneo
Jul 12, 2022 03:24Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani ni mtekelezaji wa siasa na sera za Wazayuni katika eneo.
-
Iran: Tumeieleza wazi Marekani, hatuwezi kufumbia macho mistari yetu myekundu
Mar 24, 2022 02:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran imeieleza wazi Marekani kuwa kamwe haiwezi kuvuka mistari yake myakundu.
-
Amir-Abdollahian: Iran haijafanya mazungumzo yoyote ya moja kwa moja na Marekani
Jan 28, 2022 23:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haijafanya mazungumzo yoyote ya moja kwa moja na Marekani.
-
Meja Salami: Marekani imedhoofika
Nov 23, 2021 23:33Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: "Nguvu za Marekani zimedhoofika."
-
Wasiwasi wa taathira mbaya za vikwazo vya Marekani kwa afya ya wagonjwa wa Iran
Oct 21, 2021 06:26Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran si tu kwamba vimeathiri uchumi wa nchi bali pia vimeathiri vibaya mfumo wa usambazaji dawa na vifaa vya tiba na afya nchini na hasa katika kipindi hiki kigumu cha kuenea duniani virusi hatari vya corona.
-
Khatibzadeh: Viongozi wa sasa wa Marekani wanafuata njia iliyofeli ya serikali iliyopita
Sep 04, 2021 03:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema viongozi wa sasa wa Marekani wanafuata njia ileile iliyofeli na kugonga mwamba ya serikali iliyopita ya nchi hiyo.
-
Robert Malley: Mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran yameshindwa vibaya
Jul 26, 2021 03:32Mjumbe Maalumu wa Marekani katika Masuala ya Iran amekiri kuwa vikwazo vya kidhulma na mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi ya nchi hiyo dhidi ya Iran yamefeli vibaya na amekariri madai ya kila siku ya serikali ya Joe Biden kuwa eti Washington iko tayari kurejea katika mapatano ya JCPOA iwapo Iran itatekeleza majukumu yake.
-
Khatibzadeh: Iran iko tayari kutekeleza makubaliano ya kubadilishana wafungwa
Jul 18, 2021 03:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu madai ya viongozi wa Marekani akisisitiza kuwa: Iran leo iko tayari kutekeleza makubaliano ya kubadilishana wafungwa.