-
‘Marekani imewatumia silaha magaidi wa ISIS Iraq’
Apr 10, 2016 10:41Maafisa wa polisi nchini Iraq wanasema wameona ndege za kijeshi za Marekani zikiwateremeshia shehena za silaha magaidi wa ISIS au Daesh katika mkoa wa Al Anbar.
-
Utafiti: Wairaqi wengi wanaamini kuwa US inaunga mkono ugaidi, Daesh
Apr 08, 2016 03:52Utafiti mpya wa maoni umeonyesha kuwa thuluthi moja ya wananchi wa Iraq wanaamini kuwa Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Jeshi la Iraq lamuua kiongozi wa Daesh aliyefyatua silaha za kemikali Kirkuk
Apr 01, 2016 23:25Hatimaye jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati za wananchi limefanikiwa kumuua kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh aliyehusika katika ufyatuaji wa silaha za kemikali mjini Kirkuk Iraq. Taarifa iliyotolewa na jeshi la Iraq, Abbas al-Kurdi, gaidi wa Daesh ameangamizwa akiwa pamoja na wanachama wengine wa genge hilo katika mapigano makali yanayoendelea kati ya wanamgambo wa Daesh na jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati hizo za wananchi.
-
Iran yalaani hujuma za kigaidi Pakistan na Iraq
Mar 28, 2016 03:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za hivi karibuni za kigaidi katika mji wa Lahore Pakistan na karibu na Baghdad mji mkuu wa Iraq.
-
Pentagon: Marekani kutuma vikosi zaidi nchini Iraq
Mar 26, 2016 03:39Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inajiandaa kutuma vikosi zaidi vya jeshi la nchini hiyo huko Iraq, eti kwa lengo la kuipa nguvu operesheni inayoendelea dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Kuongezeka operesheni ya vikosi vya Iraq dhidi ya Daesh
Mar 14, 2016 09:48Baada ya kuzingirwa eneo la kiistratejia la Hit katika mkoa wa al-Anbar magharibi mwa Iraq, Spika wa Bunge la nchi hiyo amesema kuwa, mkoa huo utakombolewa wote kutoka mikononi mwa magaidi wa Daesh katika siku chache zijazo.
-
Jeshi la Iraq laangamiza magaidi zaidi ya 75 wa Daesh
Mar 13, 2016 13:25Jeshi la Iraq limetangaza kuwa limefanikiwa kuangamiza wanachama 75 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni tatu kaskazini mwa nchi, katika mikoa ya Salahuddin, Kirkuk na Nineveh.
-
Madaktari Wairani kuwatibu Wairaqi waliohujumiwa na ISIS
Mar 13, 2016 04:06Timu ya madaktari wa Iran wameelekea Iraq kuwasaidia waathirika wa hivi karibuni wa hujuma ya silaha za sumu zilizotumiwa na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika mkoa wa Kirkuk.
-
Algeria yapinga kutajwa Hizbullah kuwa kundi la kigaidi
Mar 12, 2016 04:39Algeria kwa mara nyingine imepinga uamuzi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu kuitajwa Hizbullah kuwa kundi la kigaidi.
-
Kamanda Qais Khazali: Marekani ndio inayowaingiza Madaesh Iraq
Mar 10, 2016 13:09Katibu Mkuu wa Harakati ya ''Aswaib Ahlil-Haqq ya nchini Iraq, Qais Khazali amesema kuwa, Marekani ndio muhusika mkuu katika kuwaingiza wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini humo.