-
Iraq kuwa makaburi ya askari wa Saudia
Feb 13, 2016 22:25Vikosi vya wananchi vya Iraq maarufu kama Hashdu Shaabi vimeitahadharisha Saudi Arabia dhidi ya kuivamia nchi hiyo na kusema kuwa iwapo itathubutu kufanya hivyo, basi wataigeuza ardhi ya Iraq kuwa makaburi ya wanajeshi wa Saudia.
-
Makumi ya wanachama wa Daesh waangamizwa na jeshi la Iraq
Feb 13, 2016 04:12Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wameuawa na jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati za wananchi wa nchi hiyo.
-
Kamanda Msaudi wa ISIS auawa Iraq
Feb 07, 2016 10:32Kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh ameuawa nchini Iraq katika hujuma ya ndege za kivita mkoani Ninevah.
-
Iraq: Jamii ya Kimataifa ichukue msimamo kuhusu uvamizi wa Uturuki
Feb 07, 2016 00:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Ibrahim al-Jaafari ameitaka Jamii ya Kimataifa ichukue msimamo unaojulikana kuhusiana na uvamizi uliofanywa na Uturuki dhidi ya ardhi ya nchi yake.
-
Jeshi la Iraq lajiandaa kuukomboa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa Daesh
Feb 05, 2016 03:52Kamanda wa operesheni za wapiganaji wa kujitolea nchini Iraq unaofahamika kwa jina la 'al-Hashdu sh-Sha'bi' ameelezea kukamilika mpango wa operesheni za kuukomboa na kuusafisha mji wa Mosul, makao makuu ya mkoa wa Nainawa, ulioko kilometa 400 kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad.