-
Katibu Mkuu wa Arab League: Iraq imefanikiwa kuzuia uchochezi
Sep 07, 2022 03:29Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ameashiria baadhi ya mapigano ya hivi karibuni katika kivuli cha mivutano ya kisiasa huko Iraq na mbinu za viongozi wa nchi hiyo kwa lengo la kuhitimisha hali hiyo na kueleza kuwa: Iraq imeweza kudhibiti uchochezi nchini.
-
Nafasi ya nchi za kigeni katika ghasia za hivi karibuni nchini Iraq
Sep 03, 2022 07:46Moja ya masuala muhimu ambayo yanaibuliwa kuhusu machafuko ya hivi karibuni nchini Iraq ni nafasi ya nchi za kigeni katika machafuko hayo.
-
Iran yaipongeza Iraq kwa kutumia hekima kuhitimisha ghasia
Aug 31, 2022 03:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewapongeza wananchi wa Iraq kwa kutumia hekima kukabiliana na jaribio la uasi lililosababisha ghasia na fujo nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq kujiuzulu iwapo mkwamo wa kisiasa utaendelea kushuhudiwa
Aug 31, 2022 02:52Waziri Mkuu wa Iraq ametishia kuwa atajiuzulu wadhifa wake huo iwapo mkwamo na mgogoro wa kisiasa utaendelea kushuhudiwa nchini huo.
-
Muqtada Sadr na machafuko ya Iraq
Aug 30, 2022 08:30Jumatatu ya jana tarehe 29 Agosti Iraq ilishuhudia sokomoko na matukio ambayo kimsingi yalitabiriwa kutokea.
-
Iran inataka mgogoro wa Iraq kutatuliwa kupitia njia za kisheria
Aug 29, 2022 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza haja ya kuhifadhiwa umoja wa kitaifa wa Iraq, akisema matatizo ya nchi hiyo yanapaswa kutatuliwa kwa njia za kisheria.
-
Muqtada Sadr atangaza kujiuzulu siasa
Aug 29, 2022 08:16Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr ya Iraq ametangaza kujiuzulu harakati na shughuli zote za kisiasa.
-
Mazungumzo ya vyama; njia ya kuikwamua Iraq katika mgogoro
Aug 18, 2022 22:10Rais, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge pamoja na vyama kadhaa vya siasa vya nchi hiyo wametoa taarifa wakisisitizia ulazima wa kukomeshwa aina yoyote ile ya mzozo na mvutano katika mitaa na barabara za nchi hiyo.
-
Iraq katika mkondo wa kushtadi zaidi mkwamo wa kisiasa
Aug 16, 2022 22:04Uamuzi wa makundi na mirengo ya kisiasa ya Iraq wa kufanya mikusanyiko ya barabarani umeifanya anga ya kisiasa ya nchi hiyo kuwa tete zaidi na mkwamo wa kisiasa unaoikabili nchi hiyo kushtadi zaidi.
-
Magaidi 50 wa Daesh wahamishiwa Iraq kutoka nchini Syria
Aug 13, 2022 22:01Kitengo cha upashaji habari cha jeshi la Iraq kimetoa ripoti rasmi na kusema kuwa karibu wanachama 50 wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Dashe (ISIS) wamehamishiwa mkoani Nainawa (Nineveh) Iraq kutoka katika kambi ya al Hawl ya nchini Syria.