-
Wairaqi waandamana kulaana shambulizi la Daesh dhidi ya Hashd al-Sha'abi
May 03, 2020 03:39Wananchi wa Iraq wamefanya maandamano katika mji mkuu Baghdad kulaani shambulizi la hivi karibuni la kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) lililoua na kujeruhi makumi ya wanachama wa harakati ya kujitolea wananchi ya Hashdu Sha'abi.
-
Iran: Tuko tayari kuwanufaisha wengine uzoefu tuliopata wa kukabiliana na corona
May 02, 2020 03:22Mkuu wa Komandi Kuu ya Majeshi ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuyanufaisha mataifa mengine uzoefu wake katika suala la kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
-
Mazungumzo ya kuondoka jeshi la Marekani nchini Iraq kuanza mwezi Juni
Apr 26, 2020 20:11Msemaji wa Mkuu wa Majeshi ya Iraq amesema kuwa, mazungumzo ya jinsi ya kuondoka majeshi ya Marekani katika ardhi ya nchi hiyo yataanza mwezi Juni mwaka huu.
-
Rais Barham Salih: Iraq itazishinda changamoto inazokabiliwa nazo; Iran ni jirani yetu muhimu
Apr 22, 2020 22:14Rais Barham Salih wa Iraq amezungumzia masuala mbalimbali zikiwemo changamoto zinazoikabili nchi hiyo, mgogoro wa kiuchumi, uhusiano wa nchi yake na Iran na mchakato wa kuundwa serikali mpya katika nchi hiyo.
-
Marekani ndiyo ilipanga mashambulizi ya hivi karibuni ya Daesh nchini Iraq
Apr 21, 2020 07:17Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iraq amesema kuwa Wamarekani ndio waliopanga mashambulizi ya hivi karibuni ya magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.
-
Viongozi wa kidini nchini Iraq wasisitizia kuainishwa muda wa kuondoka askari wa kigeni nchini humo
Apr 20, 2020 22:26Mkuu wa Mrengo wa Badr katika Bunge la Iraq amesema kuwa maraajii wa kidini wa nchi hiyo wanasisitiza suala la kuainishwa muda wa kuondoka vikosi vya askari wa kigeni nchini humo.
-
Yaelezwa kuwa kinara mpya wa Daesh (ISIS) amepenya nchini Iraq kwa msaada wa Marekani
Apr 20, 2020 12:55Chanzo kimoja cha usalama nchini Iraq kimesema kuwa, kwa mujibu wa taarifa za kiintelejensia zilizopatikana, Abu Ibrahim al-Hashimi al-Qurashi, kiongozi mpya wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) amepenya nchini humo kwa msaada wa askari magaidi wa Marekani.
-
Malalamiko ya Baghdad juu ya kuendelea operesheni za kijeshi za Uturuki kaskazini mwa Iraq
Apr 19, 2020 22:00Operesheni za askari wa Uturuki huko kaskazini mwa Iraq kwa mara nyingine zimekabiliwa na malalamiko ya serikali ya Baghdad.
-
Silaha za Marekani zagunduliwa katika ngome za genge la Daesh (ISIS) Kirkuk, Iraq
Apr 17, 2020 00:08Mmoja wa makamanda wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq amevieleza vyombo vya habari kuhusu taarifa ya kugunduliwa silaha za Marekani katika ngome za kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa Iraq.
-
Wanazuoni wa dini zote duniani watakiwa waungane kupinga vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran
Apr 16, 2020 10:19Mkuu wa Baraza la Maulamaa wa Kisuni nchini Iraq amewatolea mwito wanazuoni wa dini na madhehebu zote duniani kuchukua msimamo mmoja wa kupinga vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya wananchi wa Iran.