Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Mazuwari kutoka nchi zaidi ya 100 watashiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu

    Mazuwari kutoka nchi zaidi ya 100 watashiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu

    Sep 17, 2019 03:28

    Mwakilishi wa misafara ya mazuwari nchini Iraq amesema: Watu kutoka zaidi ya nchi 100, wakiwemo hata wasio Waislamu watashiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu.

  • Iraq yavunja mtandao wa kigaidi kuelekea Arubaini ya Imam Hussein AS

    Iraq yavunja mtandao wa kigaidi kuelekea Arubaini ya Imam Hussein AS

    Sep 15, 2019 02:41

    Vyombo vya usalama nchini Iraq vimefanikiwa kuvunja mtandao wa kigaidi uliokuwa unakula njama ya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi wakati wa Arubaini ya Imam Hussein (AS).

  • Iran yatoa mkono wa pole kwa familia za Mashahidi wa Karbala

    Iran yatoa mkono wa pole kwa familia za Mashahidi wa Karbala

    Sep 11, 2019 03:05

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma salamu za rambirambi kwa serikali ya Iraq na familia za Mashahidi kufuatia tukio la kufa shahidi makumi ya watu katika mji mtakatifu wa Karbala.

  • Waislamu milioni tatu wazuru Haram ya Imam Hussein Karbala, wakumbuka mauaji yake

    Waislamu milioni tatu wazuru Haram ya Imam Hussein Karbala, wakumbuka mauaji yake

    Sep 10, 2019 22:56

    Zaidi ya Waislamu milioni tatu jana tarehe 10 Muharram ambayo ni maarufu kama siku ya Ashura, walishiriki katika maombolezo ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume wetu muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq.

  • Ripota wa UN: Matatizo ya ukosefu wa amani Nigeria yapewe mazingatio

    Ripota wa UN: Matatizo ya ukosefu wa amani Nigeria yapewe mazingatio

    Sep 03, 2019 03:37

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa matatizo ya kiusalama ya Nigeria yametengeneza mgogoro ambao unahitajia kupewa mazingatio haraka iwezekanavyo, la sivyo utasababisha ukosefu wa usalama katika nchi nyingine za Kiafrika.

  • Maiti za zaidi ya wahanga elfu 12 wa Daesh zagunduliwa katika makaburi ya umati, Iraq

    Maiti za zaidi ya wahanga elfu 12 wa Daesh zagunduliwa katika makaburi ya umati, Iraq

    Aug 31, 2019 22:12

    Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu nchini Iraq imetangaza kuwa, maiti elfu 12 za wahanga wa ukatili na jinai za kundi la kigaidi la Daesh zimegunduliwa katika zaidi ya makaburi 200 ya umati.

  • Bahrain yaunga mkono mashambulio ya anga ya Israel dhidi ya Lebanon na Iraq

    Bahrain yaunga mkono mashambulio ya anga ya Israel dhidi ya Lebanon na Iraq

    Aug 27, 2019 02:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain amesema, mashambulio ya kivamizi yaliyofanywa hivi karibuni na ndege zisizo na rubani za utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo kadhaa ndani ya Lebanon na Iraq ni aina mojawapo ya kujihami na ameonesha kuunga mkono hatua hiyo ya utawala huo haramu.

  • Msemaji wa serikali ya Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel ukubali taathira mbaya za uchokozi wake

    Msemaji wa serikali ya Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel ukubali taathira mbaya za uchokozi wake

    Aug 26, 2019 07:31

    Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi za Lebanon, Iraq na Syria na kusema kuwa, utawala huo unapaswa ukubali taathira mbaya za uchokozi huo.

  • Al Maliki: Iraq itatoa jibu kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Al Maliki: Iraq itatoa jibu kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 24, 2019 02:28

    Makamu wa Rais wa Iraq Nouri al Maliki ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Daawa cha Iraq ametoa onyo kali na kusema kuwa, Iraq itatoa jibu kali iwapo itabainika kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umehusika katika shambulizi la angani dhidi ya kituo cha jeshi la kujitolea la wananchi nchini humo maarufu kama Al Hashd al Shaabi.

  • Tahadhari ya Batalioni za Hizbullah ya Iraq kwa Marekani

    Tahadhari ya Batalioni za Hizbullah ya Iraq kwa Marekani

    Aug 23, 2019 22:10

    Batalioni za Hizbullah ya Iraq zimetoa taarifa zikiitahadharisha Marekani kuhusiana na kuendeleza mashambulizi dhidi ya kambi na vituo vya harakati ya wananchi ya nchi hiyo ya al Hashdu al Shaabi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS