-
Usalama warejea Syria, wafanyaziara wa Iraq waingia kwa mabasi baada ya miaka 5 ya vita
Apr 23, 2019 05:20Vyombo vya habari nchini Iraq vimeripoti kwamba kwa mara ya kwanza mabasi yaliyowabeba wafanyaziara wa Iraq yameingia Syria kwa ajili ya kufanya ziara katika maeneo matakatifu ya kidini ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
-
Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq yataka kufurushwa haraka askari wa Marekani kaskazini mwa nchi hiyo
Apr 22, 2019 09:15Msemaji wa Hashdu sh-Sha'abi nchni Iraq upande wa kaskazini wa mchi hiyo ameashiria ukwamishaji mambo wa Marekani kwa shughuli za jeshi la Iraq kwa ajili ya kutokomeza harakati za siri za genge la kigaidi la Daesh (ISIS), na hivyo ametaka kufurushwa askari wa Kimarekani nchini humo.
-
Siasa athirifu za nje, kiashiria cha serikali mpya ya Iraq
Apr 21, 2019 21:02Jumamosi iliyopita Baghdad mji mkuu wa Iraq, ulikuwa mwenyeji wa kikao cha siku moja cha jumbe za mabunge ya nchi jirani zinazojumuisha Iran, Saudi Arabia, Uturuki, Syria, Jordan na Kuwait.
-
Gaidi mmoja Mmarekani auawa kaskazini mwa Iraq
Apr 21, 2019 02:09Duru za habari zimeripoti kuwa mwanajeshi mmoja gaidi wa Marekani ameuawa kaskazini mwa Iraq.
-
Wairaqi wafanya onyesho kubwa la 'Shukurani kwa Iran' katika siku ya kukumbuka kuundwa harakati ya Hashdu sh-Sha'abi
Apr 20, 2019 00:05Sambamba na Wairaqi kusherehekea siku ilipoundwa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini humo katika onyesho kubwa lililofanyika mjini Baghdad, mji mkuu wa Iraq, wameshukuru nafasi chanya ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH la nchi hii kwa mchango wao mkubwa kwenye vita dhidi ya kundi hatari la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).
-
Sababu ya umuhimu wa kufikiwa makubaliano ya Iraq na Syria kwa ajili ya kufunguliwa vivuko vya kiistratijia
Apr 13, 2019 22:00Serikali ya Iraq imetangaza habari ya kufikiwa makubaliano na Syria juu ya kufunguliwa vivuko vya pamoja vya mpakani.
-
Rais Barham Salih wa Iraq: Kamwe nchi yetu haitakuwa ngome kwa ajili ya kuwaudhi majirani zetu
Apr 12, 2019 03:20Rais Barham Salih wa Iraq amesema kuwa, kamwe nchi hiyo haiwezi kukubali kugeuka kwa aina yoyote kuwa ngome ya kieneo kwa ajili ya kuziudhi nchi majirani.
-
Rais Rouhani: Ushirikiano wa Iran na Iraq utastawi zaidi
Apr 06, 2019 10:22Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amehimiza kustawishwa zaidi uhusiano wa nchi yake na Iraq katika pande zote.
-
Waziri Mkuu wa Iraq awasili Iran katika safari ya kuimarisha uhusiano wa Baghdad na Tehran
Apr 06, 2019 03:26Waziri Mkuu wa Iraq amewasili hapa nchini mapema leo katika ziara yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Tehran na Baghdad.
-
Rais Barham Salih wa Iraq: Mfumo wowote wa eneo hili hauwezi kuipuuza Iran
Apr 02, 2019 20:47Rais Barham Salih wa Iraq amesema kuwa, hakuna mfumo wowote mpya katika eneo la Asia Magharibi unaoweza kuipuuza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kama ambavyo hauwezi pia kufumbia macho umuhimu wa taifa la Iraq.