-
Wairaq watangaza mshikamano na waathiriwa wa mafuriko nchini Iran
Mar 31, 2019 08:45Kufuatia mafuriko yaliyoikumba mikoa kadhaa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, makundi tofauti ya Wairaq yametangaza mshikamano wao na waathirika wa mafuriko hayo kwa kuchukua hatua ya kukusanya misaada ya fedha na isiyo ya fedha kwa ajili ya watu hao.
-
Makaburi tisa ya umati yagunduliwa katika mji wa Sinjar, Iraq
Mar 18, 2019 11:02Mjumbe wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Iraq ametangaza taarifa ya kugunduliwa makaburi 9 ya umati ya raia wa Kiizadi waliouliwa na kundi la kigaidi la Daesh katika mji wa Sinjar wa magharibi mwa mkoa wa Nainawa (Nineveh) huko Iraq.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq: Marekani haina ruhusa ya kutumia ardhi ya Iraq dhidi ya Iran
Mar 17, 2019 21:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq amesisitiza kuwa, Marekani haina ruhusu ya kuzichukulia hatua nchi jirani hususan Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kupitia ardhi ya Iraq.
-
Kumalizaka mazungumzo ya siku tatu ya Sheikhe mwanadiplomasia nchini Iraq
Mar 14, 2019 07:56Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano alihitimisha mazungumzo yake na viongozi wa Iraq katika safari yake ya siku tatu nchini humo kwa kufika mji mtakatifu wa Najaf na kufanya mazungumzo na Ayatullah Sistani, marjaa taqlid wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Rouhani: Nchi za Magharibi hazikuhusika katika kungamizwa magaidi katika eneo
Mar 12, 2019 13:15Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Watu wote wanajua kuwa, madola ya Magharibi hayajahusika hata kidogo katika jitihada za kuangamizwa magaidi katika eneo la Asia Magharibi na walirusha ndege na helikopta zao angani kimaonyesho tu.
-
Zarif: Marekani haiwezi kuzuia kustawi uhusiano wa Iran na Iraq
Mar 12, 2019 04:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani haina uwezo wa kusimamisha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Iraq, na kwamba serikali ya Baghdad imejenga uhusiano huo katika misingi ya matakwa na maslahi ya taifa hilo.
-
Zarif: Uhusiano wa Iran na Iraq ni wa kihistoria, Marekani haiwezi kuaminika
Mar 10, 2019 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema, Marekani inaishinikiza Iraq ikate uhusiano wake na Iran lakini katu wakuu wa Washington hawatafanikiwa katika hilo.
-
Jibu la Wairaqi kwa vita vya kinafsi vya Marekani dhidi ya makundi ya Muqawama
Mar 07, 2019 22:56Msemaji wa Harakati ya al Nujaba ya Iraq ametangaza kuwa, hatua ya Marekani ya kuiweka harakati hiyo katika orodha ya makundi ya kigaidi ni vita vya kinafsi na haiwezi kubadili lolote.
-
Iran na Iraq zakaribia kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano
Mar 07, 2019 07:34Spika wa bunge la Iraq katika ziara yake hapa Tehran ameonana na kufanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kujadili kuimarisha ushirikiano kati ya pande mbili.
-
Qassemi: Iran haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani na nje
Mar 04, 2019 10:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haikubali masharti na haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani ya nje.