-
Iraq yachunguza kuuzwa kwa wanawake wa Kiizadi katika nchi za Kiarabu
Mar 03, 2019 12:06Mwakilishi wa zamani wa kaumu wa Waizadi katika Bunge la Iraq amesema mpango wa kufanyika uchunguzi kuhusu ripoti ya kuuzwa wanawake wa kaumu hiyo huko Saudi Arabia na katika nchi nyingine za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi ungali unaendelea.
-
Mtandao mkubwa wa kimataifa unaolifadhili kifedha DAESH Iraq wasambaratishwa
Feb 21, 2019 12:06Shirika la Intelijensia la Iraq limeeleza katika taarifa maalumu iliyotolewa leo, kwamba limeugundua na kuusambaratisha "mtandao mkubwa zaidi wa ufadhili wa kifedha" kwa ugaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo.
-
Iraq: Tutaendeleza zaidi uhusiano mwema na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 21, 2019 01:10Mshauri wa Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, licha ya vikwazo na mashinikizo ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Baghdad itaendeleza uhusiano wake na Iran ikiwemo sekta ya nishati.
-
Mkuu wa al Hashdu al Sha'abi: Iran imeisaidia Iraq katika mapambano dhidi ya Daesh
Feb 17, 2019 23:02Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya al Hashdu al Sha'abi na Baraza la Usalama wa Taifa la Iraq amesema kuwa Iran ni nchi pekee ambayo iliisaidia Iraq katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
Safari ya kushtukiza ya Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Iraq
Feb 13, 2019 09:30Baada ya baadhi ya maeneo ya Iraq kudhibitiwa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mnamo mwezi Juni 2014, Marekani iliimarisha uwepo wake ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu sambamba na kuweka askari wake katika kambi kadhaa za kijeshi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.
-
Kutimuliwa askari vamizi wa Marekani ndilo hitajio kuu la wananchi wa Iraq na Syria
Feb 10, 2019 23:19Mahdi Taqee, Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq amesema kuwa, hadi sasa jumla ya wabunge 70 wa nchi hiyo wameshatia saini muswada wa kisheria wa kushinikiza kutimuliwa nchini humo askari wa kigeni hususan wa Marekani.
-
Ayatullah Sistani: Iraq haipasi kuwa kituo cha kuzidhuru nchi nyingine
Feb 06, 2019 11:50Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iraq Ayatullah Ali Sistani amesisitiza kuwa Iraq haipasi kuwa kituo kinachotumiwa kwa ajili ya kuzidhuru nchi nyinginezo.
-
Iraq: Hatutaruhusu ardhi yetu itumike kuihujumu nchi yeyote ile
Feb 06, 2019 03:37Waziri Mkuu wa Iraq amekosoa matamshi ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump aliyedai kuwa wanajeshi wa Marekani wataendelea kuwepo nchini Iraq kwa shabaha ya kuipiga darubini Iran.
-
Maveterani wa UK: Tuliamrishwa tuwaue kwa kuwapiga risasi raia Iraq, Afghanistan
Feb 05, 2019 23:13Jeshi la Uingereza liliwaagiza askari wake wawaue kwa kuwafyatulia risasi raia wa Iraq na Afghanistan hata kama hawakuwa wamejizatiti kwa silaha.
-
Iraq yaionya Israel: Msifikirie kabisa kushambulia ardhi yetu
Jan 27, 2019 23:14Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq ametoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel na kuuonya usifikirie kabisa kushambulia ardhi ya nchi hiyo.