-
Al-Hashdu-Sha'abi: Eneo la magharibi mwa Mosul litakombolewa kikamilifu hivi karibuni
Jun 07, 2017 21:56Mkuu wa vikosi vya wananchi vya Al-Hashdu-Sha'abi vya Iraq amesisitiza kuwa mnamo siku mbili zijazo takribani maeneo yote ya magharibi mwa mji wa Mosul yatakuwa yamekombolewa kutoka kwenye makucha ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).
-
UN: Daesh imeua raia 163 waliokuwa wakikimbia Mosul, Iraq
Jun 06, 2017 23:18Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeua raia 163 waliokuwa wakiukimbia mji wa Mosul nchini Iraq ndani ya wiki moja pekee.
-
Marekani yakiri kuua mamia ya raia katika hujuma zake za anga Iraq, Syria
Jun 03, 2017 03:27Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imekiri kuwa raia zaidi ya 484 wa Iraq na Syria wameuawa katika mashambulizi yake ya anga tokea katikati ya mwaka 2014 hadi sasa.
-
Kaburi la umati lenye miili 60 lagunduliwa magharibi mwa Mosul, Iraq
Jun 01, 2017 09:24Vikosi vya serikali ya Iraq vimegundua kaburi la umati lenye miili 60 ya raia waliouliwa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) magharibi mwa mji wa Mosul.
-
Maneva ya Hashdu sh-Sha'abi ya kupambana na ugaidi katika mpaka wa Iraq na Syria
Jun 01, 2017 05:37Hivi karibuni Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq, alinukuliwa akielezea utayarifu wa wapiganaji wa harakati hiyo kwa ajili ya kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh katika ardhi ya Syria kupitia ushirikiano na serikali ya Damascus.
-
Idadi ya waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi Iraq yafikia 115
May 30, 2017 11:10Polisi ya Iraq imetangaza kuwa idadi ya watu waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililofanywa usiku wa kuamkia leo kwenye eneo la Al-Karrada katika mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad imeongezeka na kufikia 115.
-
Hashdu Sha'abi Iraq: Tupo tayari kwenda kuisafisha Syria kutokana na Daesh
May 30, 2017 03:57Msemaji wa Harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq, ameelezea utayarifu wa wapiganaji wake kwa ajili ya kupambana na genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh ndani ya ardhi ya Syria kupitia ushirikiano kamili wa serikali ya nchi hiyo.
-
Kiongozi wa Mayazidi Iraq, awataka vijana wa kabila hilo kujiunga na Hashdu Sha'abi
May 29, 2017 09:39Kiongozi Mkuu wa watu wa kabila la Mayazidi nchini Iraq, sambamba na kutoa pongezi na shukurani za dhati kwa harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini, amewataka pia vijana wa kabila hilo kujiunga na harakati hiyo kuilinda nchi.
-
Jaafari: Iraq haitounga mkono muungano dhidi ya Iran
May 28, 2017 23:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema nchi yake katu haitounga mkono wala kushirikiana na muungano wowote uliopo au utakaoundwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Vikosi vya ulinzi vya Iraq katika hatari ya mashambulizi ya Marekani
May 24, 2017 23:03Katika hali ambayo harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq katika kukabiliana na ugaidi inaendelea kupongezwa na viongozi, wananchi na hata katika fikra za walio wengi, wanamapambano wa harakati hiyo bado wanaendelea kushambuliwa na ndege za kijeshi za Marekani.