-
Iraq yasisitiza, kuna tofauti kubwa na za kimsingi na Saudi Arabia
Apr 04, 2017 23:37Waziri Mkuu wa Iraq amesema kwamba hitilafu zilizopo baina ya Baghdad na Riyadh ni za muda mrefu na kuongeza kuwa, Wairaq wanaitambua Saudi Arabia kuwa inahusika katika mashambulizi ya kigaidi yanayofanyika nchini humo.
-
Kuna uwezekano kinara wa Daesh Abubakar al-Baghdadi amenasa kwenye mzingiro wa Mosul
Apr 03, 2017 03:16Duru moja ya Iraq imetangaza kuwa kuna uwezekano kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, Abubakar al-Baghdadi amenasa kwenye mzingiro uliowekwa kwenye mkoa wa Mosul.
-
Marekani yakiri imeua raia 400 Syria na Iraq
Apr 03, 2017 00:07Muungano unaodaiwa ni wa kupambana na genge la kigaidi la Daesh unaoongozwa na Marekani umekiri kwamba katika kipindi cha baina ya mwaka 2014 hadi 2017 umeua karibu raia 400 nchini Iraq na Syria katika mashambulizi yake ya anga.
-
Iraq yasisitizia umuhimu wa kuwa na uhusiano mzuri na Iran
Apr 02, 2017 03:39Spika wa Bunge la Iraq amesema kuna haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili kati ya nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jeshi la Iraq: Tumemuua kiongozi nambari mbili wa Daesh (ISIS) al-Anbar
Apr 01, 2017 12:22Jeshi la Iraq limetangaza Jumamosi ya leo habari ya kuuliwa kinara nambari mbili wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika shambulizi la anga, magharibi mwa mkoa wa al-Anbar nchini humo.
-
Mufti wa Waislamu wa Kisuni Iraq: Marekani ikirudi Iraq tutapambana nayo kijeshi
Apr 01, 2017 12:18Mufti wa Waislamu wa Kisuni nchini Iraq amesema kuwa, ikiwa Wamarekani wamekusudia tena kurudi nchini humo, watakabiliwa na mapambano ya kijeshi dhidi yao.
-
Iraq yaikatalia Marekani kuweka kambi zake za kijeshi nchini humo
Mar 29, 2017 09:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema kuwa nchi yake haiwezi kuiruhusu Marekani kuweka kambi zake za kijeshi katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Hashdu Sha'abi yamtaka Al-Abadi kuhakikisha Marekani haihusiki katika operesheni ya Mosul
Mar 28, 2017 03:31Harakati ya Asaibu Ahlul-Haq nchini Iraq ambayo ni sehemu ya harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi imemtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo Haider al-Abadi kuhakikisha askari wa Marekani hawashiriki kwa njia yoyote katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa wanachama wa genge la Daesh.
-
Genge la Daesh laua raia 227 Mosul, kwa kutaka kukimbia maeneo yao
Mar 27, 2017 23:26Jeshi la Iraq limetangaza kuwa, wanachama wa kundi la ukufurishaji la Daesh (ISIS) limeua raia 227 wakazi wa Mosul, baada ya raia hao kutaka kukimbia kutoka maeneo yanayodhibitiwa na magaidi hao.
-
Iran yataka Marekani ishtakiwe kwa jinai za kivita baada ya mauaji ya Mosul
Mar 26, 2017 22:13Afisa wa ngazi za juu nchini Iran amesema kuwa, hujuma za ndege za kivita za Marekani katika mji wa Mosul, Iraq ambazo zimeua idadi kubwa ya raia, ni jinai za kivita.