Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Safari ya Al-Hakim mjini Cairo; ustawishaji wa kimalengo wa uhusiano wa Misri na Iraq

    Safari ya Al-Hakim mjini Cairo; ustawishaji wa kimalengo wa uhusiano wa Misri na Iraq

    Apr 19, 2017 02:40

    Sayyid Ammar Al-Hakim, kiongozi wa Muungano wa Kitaifa, ambao ni mrengo mkubwa zaidi wa kisiasa nchini Iraq jana Jumanne ya tarehe 18 Aprili alielekea nchini Misri kwa mwaliko rasmi wa viongozi wa nchi hiyo.

  • Jordan: Waliohusika na kuwadhalilisha shakhsia wa Iraq watawachukuliwa hatua kali

    Jordan: Waliohusika na kuwadhalilisha shakhsia wa Iraq watawachukuliwa hatua kali

    Apr 17, 2017 03:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan amemuhakikishia Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq kwamba, watu waliohusika na kuwavunjia heshima shakhsia muhimu wa Iraq, wametiwa mbaroni na kwamba watafikiishwa mbele ya vyombo vya sheria.

  • Jeshi la Iraq: Magaidi wa Daesh magharibi mwa Mosul wamezingrwa pande zote

    Jeshi la Iraq: Magaidi wa Daesh magharibi mwa Mosul wamezingrwa pande zote

    Apr 15, 2017 09:39

    Msemaji wa kamandi ya operesheni za pamoja za jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi, amesema kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamezingirwa tokea pande zote za mji huo.

  • Magaidi 52 wa Daesh waangamizwa na jeshi la Iraq, Mosul

    Magaidi 52 wa Daesh waangamizwa na jeshi la Iraq, Mosul

    Apr 13, 2017 02:46

    Jeshi la Iraq limewaangamiza wanachama 52 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS katika operesheni za kusafisha eneo la magharibi mwa mkoa wa Mosul.

  • Brigedia Jenerali Rasool: Daesh inadhibiti chini ya 7% ya ardhi ya Iraq

    Brigedia Jenerali Rasool: Daesh inadhibiti chini ya 7% ya ardhi ya Iraq

    Apr 11, 2017 23:22

    Jeshi la Iraq limesema idadi ya ngome zilizokuwa zikidhibitiwa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini humo imedidimia kutoka asilimia 40 hadi chini ya asilimia 7 katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

  • Iraq yasisitiza, kuna tofauti kubwa na za kimsingi na Saudi Arabia

    Iraq yasisitiza, kuna tofauti kubwa na za kimsingi na Saudi Arabia

    Apr 04, 2017 23:37

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kwamba hitilafu zilizopo baina ya Baghdad na Riyadh ni za muda mrefu na kuongeza kuwa, Wairaq wanaitambua Saudi Arabia kuwa inahusika katika mashambulizi ya kigaidi yanayofanyika nchini humo.

  • Kuna uwezekano kinara wa Daesh Abubakar al-Baghdadi amenasa kwenye mzingiro wa Mosul

    Kuna uwezekano kinara wa Daesh Abubakar al-Baghdadi amenasa kwenye mzingiro wa Mosul

    Apr 03, 2017 03:16

    Duru moja ya Iraq imetangaza kuwa kuna uwezekano kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, Abubakar al-Baghdadi amenasa kwenye mzingiro uliowekwa kwenye mkoa wa Mosul.

  • Marekani yakiri imeua raia 400 Syria na Iraq

    Marekani yakiri imeua raia 400 Syria na Iraq

    Apr 03, 2017 00:07

    Muungano unaodaiwa ni wa kupambana na genge la kigaidi la Daesh unaoongozwa na Marekani umekiri kwamba katika kipindi cha baina ya mwaka 2014 hadi 2017 umeua karibu raia 400 nchini Iraq na Syria katika mashambulizi yake ya anga.

  • Iraq yasisitizia umuhimu wa kuwa na uhusiano mzuri na Iran

    Iraq yasisitizia umuhimu wa kuwa na uhusiano mzuri na Iran

    Apr 02, 2017 03:39

    Spika wa Bunge la Iraq amesema kuna haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili kati ya nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Jeshi la Iraq: Tumemuua kiongozi nambari mbili wa Daesh (ISIS) al-Anbar

    Jeshi la Iraq: Tumemuua kiongozi nambari mbili wa Daesh (ISIS) al-Anbar

    Apr 01, 2017 12:22

    Jeshi la Iraq limetangaza Jumamosi ya leo habari ya kuuliwa kinara nambari mbili wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika shambulizi la anga, magharibi mwa mkoa wa al-Anbar nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS