Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Daesh latumia gesi ya sumu kujaribu kulizuia jeshi la Iraq kuyakomboa maeneo yaliyosalia Mosul

    Daesh latumia gesi ya sumu kujaribu kulizuia jeshi la Iraq kuyakomboa maeneo yaliyosalia Mosul

    Mar 03, 2017 00:49

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) limetumia silaha zenye gesi ya sumu katika kulizuia jeshi la Iraq kusonga mbele katika maeneo yaliyosalia.

  • Iraq: Tumeazimia kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh

    Iraq: Tumeazimia kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh

    Mar 02, 2017 04:44

    Serikali ya Iraq imetangaza kuwa, imeazimia kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh na kwamba, vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vinaendelea vizuri na operesheni zake dhidi ya wanamgambo hao wa kigaidi.

  • Hatimaye kinara wa Daesh akiri kushindwa nchini Iraq, awataka wafuasi wake kukimbilia milimani

    Hatimaye kinara wa Daesh akiri kushindwa nchini Iraq, awataka wafuasi wake kukimbilia milimani

    Mar 01, 2017 01:10

    Kinara wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) Abubakar al-Baghdadi ametoa hotuba ya mwisho akikiri kushindwa kundi hilo nchini Iraq na amewataka wafuafi wake kukimbilia maeneo ya milimani kwa usalama wao au kujiripua.

  • WFP yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya Iraq

    WFP yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya Iraq

    Feb 27, 2017 23:15

    Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya kibinadamu inayozikabili familia za Wairaqi magharibi mwa mji wa Mosul nchini humo.

  • Wairaq: Ni kosa kubwa kuwaamini watawala wa kigaidi wa Saudia

    Wairaq: Ni kosa kubwa kuwaamini watawala wa kigaidi wa Saudia

    Feb 27, 2017 10:53

    Sambamba na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia, Adel al-Jubeir kufanya safari nchini Iraq na kukutana na viongozi wa nchi hiyo ambapo ametaka kuimarishwa mahusiano ya pande mbili, Wairaq wameitaja safari ya waziri huyo wa Saudia kuwa ni njama chafu dhidi ya nchi yao.

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia nchini Iraq

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia nchini Iraq

    Feb 26, 2017 04:54

    Jumamosi ya jana Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia aliwasili mjini Baghdad kwa ajili ya kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa Iraq.

  • Syria: Tunashirikiana kwa karibu na Iraq katika kupambana na genge la Daesh

    Syria: Tunashirikiana kwa karibu na Iraq katika kupambana na genge la Daesh

    Feb 25, 2017 10:56

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitizia uepo wa ushirikiano baina ya nchi yake na serikali ya Iraq katika kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).

  • HRW: Wanawake ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vya kundi la Daesh nchini Iraq

    HRW: Wanawake ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vya kundi la Daesh nchini Iraq

    Feb 20, 2017 12:30

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, wanawake nchini Iraq ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vinavyofanywa na kundi la kigaidi la Daesh.

  • 51 wauawa na wengine kujeruhiwa katika mlipuko wa kigaidi Baghdad

    51 wauawa na wengine kujeruhiwa katika mlipuko wa kigaidi Baghdad

    Feb 16, 2017 12:22

    Gari lililokuwa limetegwa bomu limeripuka katika kitongoji kimoja kusini mwa Baghdad mji mkuu wa Iraq na kuuwa makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.

  • Makamanda 13 wa Daesh (ISIS) waangamizwa katika shambulio la jeshi la anga la Iraq

    Makamanda 13 wa Daesh (ISIS) waangamizwa katika shambulio la jeshi la anga la Iraq

    Feb 14, 2017 04:13

    Jeshi la anga la Iraq limefanya shambulio katika nyumba inayodhaniwa kuwemo ndani yake kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) Abubakar al-Baghdadi pamoja na makamanda wengine waandamizi wa kundi hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS