Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Araqchi: Iran iko mstari wa mbele kupambana na silaha za mauaji ya umati

    Araqchi: Iran iko mstari wa mbele kupambana na silaha za mauaji ya umati

    Feb 13, 2017 13:49

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, historia ya mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Baath wa Saddam, dhidi ya wananchi na raia wasio na ulinzi wa Iran ni jambo lisiloweza kusahaulika.

  • Iraq: Abubakar al-Baghdad amekimbilia Syria baada ya kuzidiwa

    Iraq: Abubakar al-Baghdad amekimbilia Syria baada ya kuzidiwa

    Feb 08, 2017 04:22

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa, kinara wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) Abubakar al-Baghdad amekimbilia nchini Syria.

  • Mafanikio ya awamu ya pili ya operesheni ya ukombozi wa Tikrit-Mosul

    Mafanikio ya awamu ya pili ya operesheni ya ukombozi wa Tikrit-Mosul

    Feb 06, 2017 04:37

    Awamu ya pili ya operesheni ya kukomboa eneo la Tikrit mpaka Mosul nchini Iraq inaendelea kwa mafanikio ya kikosi cha wapiganaji wa kujitolea cha al Nujabaa.

  • Velayati: Marekani inafaa kuilipa fidia Iraq kwa kuivamia 2003

    Velayati: Marekani inafaa kuilipa fidia Iraq kwa kuivamia 2003

    Feb 06, 2017 04:34

    Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema serikali ya Iraq inapaswa kupigania haki ya kufidiwa na Marekani katika vyombo vya kimataifa, kutokana na uvamizi wa utawala wa Washington dhidi yake mwaka 2003.

  • Kukaribia kushindwa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Iraq

    Kukaribia kushindwa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Iraq

    Feb 04, 2017 03:19

    Yan Kubish, Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq amesema kuwa, kushindwa kikamilifu kundi la kigaii la Daesh kumekaribia na kwamba msaada wa jamii ya kimataifa kwa Wairaki, baada ya kushindwa kundi hilo ni suala muhimu sana.

  • Jeshi la Iraq: Magaidi wa ISIS wamezingirwa kikamilifu mjini Mosul

    Jeshi la Iraq: Magaidi wa ISIS wamezingirwa kikamilifu mjini Mosul

    Feb 04, 2017 00:58

    Msemaji wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi nchini Iraq amesema kuwa, wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji wa Daesh (ISIS) wamezingirwa kikamilifu katika eneo la magharibi mwa mji wa Mosul nchini humo.

  • Wakimbizi wa Kiiraqi warejea katika maeneo yaliyokombolewa huko Mosul

    Wakimbizi wa Kiiraqi warejea katika maeneo yaliyokombolewa huko Mosul

    Jan 26, 2017 00:11

    Maafisa wa Iraq wameeleza kuwa maelfu ya wakimbizi wamerejea makwao katika maeneo yaliyokombolewa hivi karibuni huko Mosul makao makuu ya mkoa wa kaskazini wa Nainawa.

  • Jeshi la Iraq lazidi kupata mafanikio, ladhibiti ngome kubwa ya mwisho ya magaidi, Mosul

    Jeshi la Iraq lazidi kupata mafanikio, ladhibiti ngome kubwa ya mwisho ya magaidi, Mosul

    Jan 24, 2017 11:14

    Jeshi la Iraq limeendelea kupata mafanikio makubwa dhidi ya magaidi wa genge la Daesh (ISIS) huko Mosul.

  • Jeshi la Iraq: Tumekomboa 90% ya mashariki mwa mji wa Mosul kutoka Daesh

    Jeshi la Iraq: Tumekomboa 90% ya mashariki mwa mji wa Mosul kutoka Daesh

    Jan 17, 2017 03:38

    Kamanda mwandamizi wa Kitengo cha Kupambana na Ugaidi cha Jeshi la Iraq (CTS) amesema askari wa nchi hiyo wamefanikiwa kukomboa karibu asilimia 90 ya eneo la mashariki mwa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh.

  • Nouri al-Maliki: Utawala wa Bahrain umechagua njia ya kupambana na raia wake

    Nouri al-Maliki: Utawala wa Bahrain umechagua njia ya kupambana na raia wake

    Jan 16, 2017 12:06

    Nouri al-Maliki, Mkuu wa Muungano wa Utawala wa sheria nchini Iraq amekitaja kitendo cha utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain cha kuwanyonga vijana watatu wanaharakati kuwa, ni jinai chafu na hatua ya kidhalimu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS