Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Trump: Marekani ilifanya makosa kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan

    Trump: Marekani ilifanya makosa kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan

    Jan 16, 2017 03:03

    Rais mteule wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo ilifanya makosa kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan.

  • Malengo ya Uturuki ya kuendelea kukiuka haki ya kujitawala Iraq

    Malengo ya Uturuki ya kuendelea kukiuka haki ya kujitawala Iraq

    Jan 16, 2017 00:22

    Licha ya malalamiko ya kila mara na mashitaka ya serikali ya Iraq katika asasi za kieneo na kimataifa, bado Uturuki imekataa kuondoa askari wake kutoka kambi ya kijeshi ya Bashiqa.

  • Wapiganaji zaidi ya 200 wa kundi la kigaidi la Daesh waangamizwa Mosul, Iraq

    Wapiganaji zaidi ya 200 wa kundi la kigaidi la Daesh waangamizwa Mosul, Iraq

    Jan 10, 2017 01:19

    Kamanda wa operesheni ya kukomboa mji wa Mosul uliokuwa ngome kuu ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq amesema kuwa magaidi wasiopungua 200 wa kundi hilo wameangamizwa katika operesheni iliyofanywa na jeshi la Iraq jana Jumatatu katika mji huo.

  • Kipigo kikali cha jeshi la Iraq na harakati ya wananchi dhidi ya magaidi wa Daesh (ISIS)

    Kipigo kikali cha jeshi la Iraq na harakati ya wananchi dhidi ya magaidi wa Daesh (ISIS)

    Jan 08, 2017 08:29

    Habari kutoka Iraq zinaeleza kuwa jeshi la nchi hiyo kwa kushirikiana na harakati ya kujitolea ya wananchi, limetoa kipigo kikali kwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mji wa Mosul na hivyo kufanikiwa kuingia mji huo ambao ni makao makuu ya mkoa wa Nainawa (Nineveh).

  • Magaidi wa Daesh walipua daraja linalounganisha mji wa Mosul

    Magaidi wa Daesh walipua daraja linalounganisha mji wa Mosul

    Jan 08, 2017 04:10

    Kamanda wa operesheni za kuukomboa mkoa wa Nainawa (Nineve) kaskazini mwa Iraq, amesema kuwa, genge la kigaidi na kitakfiri la Daesh, limeripua upande wa kulia wa daraja la Mto Tigris linalouonganisha mji wa Mosul na maeneo mengine.

  • Iraq: Mosul hivi karibuni utakuwa tayari umekombolewa kutoka mikononi mwa magaidi wa ISIS

    Iraq: Mosul hivi karibuni utakuwa tayari umekombolewa kutoka mikononi mwa magaidi wa ISIS

    Jan 06, 2017 01:18

    Kamanda wa operesheni za vikosi vya jeshi la Iraq amesema kuwa, jeshi la nchi hiyo tayari limekomboa asilimia 70 upande wa mashariki wa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na kwamba inatazamiwa siku chache zijazo mji wote wa Mosul utakuwa umekombolewa na jeshi hilo.

  • Ushirikiano wa Iran, Iraq, Syria na Russia katika vita dhidi ya ugaidi

    Ushirikiano wa Iran, Iraq, Syria na Russia katika vita dhidi ya ugaidi

    Jan 05, 2017 01:06

    Haidar al Abadi, Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa, ushirikiano wa Iraq, Russia, Syria na Iran katika vita dhidi ya ugaidi ni kwa maslahi ya wote.

  • UN: Ghasia na ugaidi vimeua raia karibu 7000 Iraq, 2016

    UN: Ghasia na ugaidi vimeua raia karibu 7000 Iraq, 2016

    Jan 04, 2017 00:26

    Umoja wa Mataifa umesema takriban raia elfu 7 wameuawa katika mapigano na mashambulizi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS mwaka uliomalizika wa 2016 nchini Iraq.

  • Magaidi 76 wa Daesh waangamizwa katika mji wa Mosul, Iraq

    Magaidi 76 wa Daesh waangamizwa katika mji wa Mosul, Iraq

    Jan 03, 2017 10:21

    Vyombo vya usalama nchini Iraq vimetangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul ulioko kaskazini mwa nchi.

  • Milipuko yaua kwa uchache watu 28 katikati mwa Baghdad, Iraq

    Milipuko yaua kwa uchache watu 28 katikati mwa Baghdad, Iraq

    Dec 31, 2016 11:23

    Milipuko miwili iliyotokea katikati mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad imeua watu wasiopungua 28.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS