-
UN, nchi za Kiarabu zalaani uropokaji wa Waziri wa Fedha wa Israel
Mar 21, 2023 22:49Umoja wa Mataifa na ulimwengu wa Kiarabu umelaani matamshi ya kichochezi yaliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Palestina.
-
Waislamu Indonesia walaani uepo wa Israel Kombe la Dunia U20
Mar 20, 2023 22:58Wananchi Waislamu wa Indonesia wamefanya maandamano ya kulalamikia hatua ya kuruhusiwa utawala haramu wa Israel kushiriki katika fainali za Kombe la Dunia katika mchezo wa kandanda kwa vijana wa kiume wenye umri usiozidi miaka 20.
-
Tehran, mwenyeji wa kongamano la kubainisha ubaguzi na jinai za Israel
Mar 14, 2023 22:54Kongamano la kupambana na ubaguzi na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina lilifanyika jana Jumanne hapa Tehran, mji mkuu wa Iran na kuhudhuria na wajumbe wa makundi ya muqawama ya Palestina, maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu na wa nchi kadhaa za Kiarabu.
-
Morocco yawaonya wanaokosoa uhusiano wa nchi hiyo na Israel
Mar 14, 2023 22:53Kasri ya mfalme wa Morocco imekitaka chama kikubwa zaidi cha Kiislamu nchini humo cha PJD kiache kutoa taarifa za kukosoa na kupinga hatua ya Rabat ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Saudia yaiomba US iisaidie mpango wake wa nyuklia mkabala wa kuanzisha rasmi uhusiano na Israel
Mar 10, 2023 07:03Saudi Arabia imeiomba Marekani iisaidie katika mpango wake wa kurutubisha madini ya urani ili mkabala wake Riyadh itangaze rasmi kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Hayo ni kwa mujibu wa gazeti la Wall Street linalochapishwa nchini Marekani.
-
Iran yalaani mashambulizi ya kinyama ya Israel dhidi ya Syria
Mar 09, 2023 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani wimbi la mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria, wakati huu ambapo taifa hilo linakabiliwa na matatizo chungu nzima kutoka na maafa makubwa ya matetemeko ya ardhi.
-
Afrika Kusini katika mchakato wa kupunguza kiwango cha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 09, 2023 22:54Bunge la Afrika Kusini limetangaza kupitisha sheria ya kupunguza kiwango cha uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kusisitiza kwamba utawala huo unaozikoloni ardhi za Palestina ni utawala wa kibaguzi au apathaidi ambao unawadhulumu na kuwabagua Wapalestina.
-
'Pango la Simba' kulipiza kisasi cha mauaji ya Wapalestina Jenin
Mar 08, 2023 06:23Kundi la Muqawama wa Kiislamu la Arin al Usud (Pango la Simba) limesema litalipiza kisasi cha mauaji ya kikatili ya Wapalestina katika mji wa Jenin katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Afrika Kusini kupunguza kiwango cha uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 08, 2023 03:09Bunge la Afrika Kusini jana Jumanne lilipiga kura ya kuunga mkono kushushwa hadhi ya ubalozi wa nchi hiyo huko Israel kutokana na kuendelea unyanyasaji na mauaji ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Mash'al: Kuanzisha uhusiano na Israel umeisababishia Palestina dhiki
Mar 05, 2023 07:28Kiongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi ameyakosoa baadhi ya madola ya Kiarabu kwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel na kusisitiza kuwa, ushirikiano na utawala huo wa Kizayuni haujakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuwasababishia Wapalestina dhiki na matatizo.