-
Safari ya Waziri Mkuu wa Israel Bahrain katika siku ya kumbukumbu ya mwamko wa Februari 14
Feb 16, 2022 07:34Naftali Bennett Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel hivi karibuni amefanya safari huko Bahrain kwa mwaliko rasmi wa Mfalme Hamad bin Isa wa nchi hiyo, ikiwa ni katika kumbukumbu ya mwaka wa 11 wa mwamko wa watu wa nchi hiyo dhidi ya utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa.
-
HAMAS yaionya Israel iache kucheza na moto
Feb 13, 2022 09:18Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa onyo kali kwa utawala haramu wa Israel baada ya walowezi wake wa Kizayuni kuwashambulia tena Wapalestina katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Burhan apongeza 'uhusiano wa kijasusi' wa Sudan na Israel
Feb 13, 2022 09:07Mkuu wa Jeshi la Sudan, Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amejitokeza hadharani na kutetea kitendo chake cha kiafriti, cha kushinikiza kuboresha uhusiano wa kawaida wa nchi hiyo na utawala haramu wa Israel.
-
Mahakama ya Ufaransa yakataa kumuachilia huru 'Nelson Mandela wa Kiarabu' Georges Abdallah + Video
Feb 11, 2022 23:29Mwanamapambano anayeunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina na shujaa wa kimataifa Georges Ibrahim Abdallah kwa mara nyingine tena amenyimwa uhuru wake na mahakama za Ufaransa.
-
Iran: Uamuzi wa AU kuisimamishia Israel uanachama ni wa hekima, sahihi
Feb 08, 2022 04:27Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza uamuzi wa Umoja wa Afrika wa kusimamisha hadhi ya uanachama mtazamaji ya utawala wa Kizayuni Israel katika jumuiya hiyo ya kibara.
-
Kuwait yapiga marufuku filamu ya 'Death on the Nile' iliyoigizwa na Muisraeli
Feb 07, 2022 23:19Kuwait imepiga marufuku kuonyeshwa kwa filamu ya Kimarekani ya Death on the Nile, iliyotengenezwa kutoka kwenye riwaya yenye majina ya Agatha Christie na kuchezwa na mwigizaji wa Israel, Gal Gadot.
-
Wapalestina wautaka Umoja wa Afrika kuifukuza Israel katika umoja huo
Feb 05, 2022 10:47Viongozi na makundi ya ukombozi wa Palestina wameutaka Umoja wa Afrika (AU) kufikiria upya uamuzi wa mwaka jana wa kuipa Israel hadhi ya kuwa mwangalizi katika umoja huo.
-
Erdogan: Rais wa Israel ataitembelea Uturuki mwezi ujao
Feb 03, 2022 09:07Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema rais wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Isaac Herzog ataitembelea nchi hiyo mwezi ujao wa Machi.
-
Hamas yapongeza ripoti ya Amnesty International inayoitaja Israel kuwa ni "utawala wa kibaguzi"
Feb 01, 2022 23:04Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza ripoti ya Amnesty International iliyochapishwa jana Jumanne ambayo imeitambua Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi wa apartheid.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Beirut haitakabidhi silaha za Hizbullah
Jan 29, 2022 08:07Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Lebanon amesema kuwa nchi hiyo haitakabidhi silaha za Hizbullah. Abdallah Bou Habib ameyasema hayo kabla ya mkutano na mawaziri wenzake wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi huko Kuwait unaolenga kuboresha uhusiano.