-
Mahmoud Abbas 'amewapiga jambia' Wapalestina kwa kukutana na Gantz
Aug 30, 2021 06:52Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema kitendo cha Mamhoumd Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kukutana na kufanya mazungumzo na Benny Gantz, Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel ni sawa na kuwachoma jambia kwa nyuma Wapalestina.
-
Unicef: Israel imeua watoto 9 wa Kipalestina katika miezi miwili ya karibuni
Aug 28, 2021 03:39Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) limeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeua watoto 9 wa Kipalestina katika kipindi cha miezi miwili pekee na kujeruhi wengine 556.
-
Marekani yaachana na mpango wa kununua 'Ngao ya Chuma' ya Israel
Aug 27, 2021 03:22Jeshi la Marekani limeachana na mpango wake wa kununua mifumo mingine ya ngao ya makombora ya utawala haramu wa Israel, baada ya kuufanyia majaribio mfumo wa kutungua maroketi na makombora ya mafasa mafupi kutoka Tel Aviv mwanzoni mwa msimu huu wa joto kali; na kupata matokeo yasiyoridhisha.
-
Hamas yasisitiza kuendelezwa mapambano dhidi ya adui Mzayuni
Aug 25, 2021 23:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza udharura wa kuendeleza mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kwa kutumia suhula na nyenzo zote.
-
Palestine Action yavamia kiwanda cha kuzalisha silaha cha Israel nchini Uingereza
Aug 23, 2021 08:20Kama sehemu ya kampeni yao ya kitaifa dhidi ya kiwanda kinachotengeneza silaha za Israeli, wanaharakati wanaounga mkono Palestina nchini Uingereza wamefanya maandamano nje ya kiwanda cha kampuni hiyo kwenye eneo Oldham na kuvamia paa la kiwanda hicho.
-
UNIFIL yaikosoa Israel kwa kukiuka mamlaka ya kujitawala Lebanon
Aug 22, 2021 22:02Hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Lebanon wakati wa kuishambulia Syria imekosolewa na Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Mataifa huko Lebanon (UNIFIL)
-
Haniya: Upanga wa Quds ulisambaratisha njama za kuuchafua muqawama
Aug 22, 2021 23:03Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema vita vya Saif al Quds (Upanga wa Quds) vilizima njama na juhudi zote za kutaka kuipaka matope kambi ya muqawama.
-
Algeria: Makundi yenye uhusiano na Morocco na Israel ndiyo yaliyohusika na moto wa misituni
Aug 19, 2021 19:35Algeria imeuhusisha moto mbaya uliotokea hivi karibuni nchini humo na makundi mawili ambavyo nmayatambua kuwa ni magenge ya "kigaidi", na kusema kuwa moja ya kati ya makundi hayo liungwa mkono na Morocco na Israeli.
-
Shamkhani aionya Israel; Hatima ya uvamizi ni kutimuliwa
Aug 18, 2021 08:53Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuuambia kuwa, sera yake ya uvamizi na ukaliaji ardhi za Wapalestina kwa mabavu itapatwa na hatima ya kufedhehesha kama iliyoipata Marekani huko Afghanistan.
-
"Kutowajibishwa Israel kumeifanya iendelee kukiuka sheria za kimataifa"
Aug 18, 2021 08:23Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema kutoubebesha dhima utawala haramu wa Israel kumeushajiisha na kuupa uthubutu wa kuendelea kukanyaga sheria za kimataifa.