-
Jeshi la Israel limeua watoto 3,000 wa Palestina tokea Intifadha ya 2
Nov 20, 2020 23:06Wizara ya Habari ya Palestina imeripoti kuwa, maelfu ya watoto wa Kipalestina wameuawa shahidi mikononi mwa askari katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel tangu ilipoanza Intifadha ya Pili ya Palestina hadi sasa.
-
Madai ya Pompeo dhidi ya harakati ya kuususia utawala wa Israel BDS, na radiamali yake
Nov 20, 2020 05:36Marekani ambaye ni muungaji mkono mkubwa wa Utawala haramu wa Israel, si tu kwamba imeuhudumia pakubwa utawala huo katika kipindi cha utawala Rais Donald Trump, bali inaendelea kufanya juhudi za kudhoofisha na kuyawekea vikwazo na mashinikizo makundi na harakati ambazo zinaonekana kuwa dhidi ya siasa za ukandamizaji na jinai za utawala huo wa kibaguzi.
-
Sudan: Marekani ilitushinikiza tuanzishe uhusiano na Israel
Nov 20, 2020 00:23Waziri wa Habari, Utamaduni na Utalii wa Sudan amefichua kuwa, Marekani iliiwekea nchi hiyo ya Kiafrika mashinikizo makubwa ya kuitaka ianzishe uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Sababu na shabaha za Saudia za kushirikiana na Wazayuni kuipiga vita Ikhwanul Muslimin
Nov 18, 2020 03:16Baraza la Maulamaa Wakuu wa Saudi Arabia limetoa taarifa likidai kuwa Ikhwanul Muslimin ni la kigaidi ambalo linapigania malengo ya kichama. Aidha baraza hilo limeituhumu Ikhwanul Muslimin kuwa inazusha mifarakano, inaeneza fitna na inaendesha machafuko na vitendo vya kigaidi.
-
Pakistan: Kamwe hatukubali kushinikizwa kuitambua rasmi Israel
Nov 17, 2020 22:53Kwa mara nyingine tena, Pakistan imesisitiza kuwa katu haitatumbukia katika mashinikizo ya kufuata mkumbo wa kuitambua rasmi Israel maadamu utawala huo haramu bado unazikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Umoja wa Ulaya wapinga ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi huko Palestina
Nov 16, 2020 07:35Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa taarifa akipinga vikali ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zilizobandikwa jina la Israel.
-
Ndege za kivita za Israel zashambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza
Nov 15, 2020 08:30Ndege za kivita za utawala haramu wa Israel zimeshambulia ngome za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Gaza mapema leo Jumapili.
-
Iran yaishauri Saudia iache kujipendekeza kwa Israel
Nov 14, 2020 03:48Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa ameiasa Saudi Arabia ikomeshe mienendo yake ya kujipendekeza, kujidhalilisha na kujikomba kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Indhari ya Wazayuni kuhusu kusambaratika uchumi wa Israel
Nov 11, 2020 04:47Naftali Bennett, kiongozi wa chama cha harakati ya mrengo wa kulia wenye kufurutu ada kinachojulikana kama chama cha The New Right amesema kuwa, katika hali ya hivi sasa Israel inaelekea upande hatari na wa kutisha na kwamba, imo mbioni kusambaratika kiuchumi.
-
Malawi kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kufungua ubalozi Quds inayokaliwa kwa mabavu
Nov 05, 2020 00:27Malawi inatazamiwa kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kufuata mkumbo wa Marekani wa kufungua ubalozi katika mji mtukufu wa Quds huko Palestina unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.