Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Nukta tano kuhusu jaribio la kombora la utawala wa Kizayuni wa Israel

    Nukta tano kuhusu jaribio la kombora la utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 08, 2019 03:56

    Msemaji wa Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel tarehe 6 Disemba alitangaza kuwa jeshi la utawala huo lilifanyia jaribio kombora moja katika eneo la Ashdod.

  • UN: Ukaliaji ardhi kwa mabavu wa Israel unaisababishia Palestina hasara ya dola bilioni 2.5 kwa mwaka

    UN: Ukaliaji ardhi kwa mabavu wa Israel unaisababishia Palestina hasara ya dola bilioni 2.5 kwa mwaka

    Dec 03, 2019 04:17

    Umoja wa Mataifa umesema hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina inausababishia uchumi wa Wapalestina hasara ya dola bilioni 2.5 kila mwaka.

  • Jamii ya kimataifa yakosolewa kwa kunyamazia kimya jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Jamii ya kimataifa yakosolewa kwa kunyamazia kimya jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Dec 02, 2019 08:56

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imekikosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina na kueleza kuwa hilo ni doa baya katika paji la uso la walimwengu.

  • Wapalestina wapambana na askari wa Israel katika maandamano ya

    Wapalestina wapambana na askari wa Israel katika maandamano ya "Siku ya Ghadhabu"

    Nov 26, 2019 22:13

    Wapalestina mapema leo wamepigana na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika maandamano ya "Siku ya Ghadhabu" kupinga siasa za Marekani za kukingia kifua na kuhalalisha wizi wa ardhi za Palestina.

  • Mpalestina mwenye saratani afia jela Israel kwa kunyimwa matibabu

    Mpalestina mwenye saratani afia jela Israel kwa kunyimwa matibabu

    Nov 26, 2019 22:11

    Raia wa Palestina aliyekuwa anaugua ugonjwa wa saratani amepoteza maisha mikononi mwa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kunyimwa matibabu na dawa.

  • Kuongezeka upinzani kwa hatua ya Marekani kuunga mkono ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Kuongezeka upinzani kwa hatua ya Marekani kuunga mkono ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Nov 24, 2019 23:18

    Uungaji mkono wa kila upande wa White House kwa siasa za kupenda kujitanua za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hususan katika kuutambua kuwa halali ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, si tu kwamba umeibua hasira za walimwengu, bali umewafanya wabunge wa chama cha Democrat katika bunge la wawakilishi nchini Marekani kukosoa ukiukaji huo wa Washington wa sheria za kimataifa.

  • Upinzani dhidi ya uungaji mkono wa Marekani kwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi huko Palestina, waongezeka

    Upinzani dhidi ya uungaji mkono wa Marekani kwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi huko Palestina, waongezeka

    Nov 23, 2019 23:44

    Misaada na uungaji mkono wa pande zote wa maafisa wa White House kwa siasa za utawala haramu wa Israel hususan hatua ya serikali ya Washington ya kuhalalisha ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina inaendelea kuamsha hasira za walimwengu.

  • Wanaharakati waandamana Chicago, Marekani kulaani hujuma za Israel, Gaza

    Wanaharakati waandamana Chicago, Marekani kulaani hujuma za Israel, Gaza

    Nov 22, 2019 23:08

    Makumi ya wanaharakati wamefanya maandamano katika mji wa Chicago jimboni Illinois nchini Marekani, kulaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa hivi karibuni na ndege za jeshi katili la Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Wanachama wa Baraza la Usalama waikosoa vikali Marekani

    Wanachama wa Baraza la Usalama waikosoa vikali Marekani

    Nov 22, 2019 23:08

    Rais Donald Trump wa Marekani amechukua msimamo wa kuunga mkono kwa hali na mali na bila ya masharti yoyote utawala haramu wa Israel na licha ya maazimio kadhaa ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yanayopiga marufuku kuunganishwa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo tokea mwaka 1967, ikiwemo miinuka ya Golan ya Syria, lakini bado serikali ya Washington inauchukulia ukaliaji mabavu huo wa utawala wa Kizayuni kuwa ni jambo halali na linaloruhusiwa.

  • Watoto wa Kipalestina, wahanga wa jinai za utawala haramu wa Israel

    Watoto wa Kipalestina, wahanga wa jinai za utawala haramu wa Israel

    Nov 22, 2019 03:37

    Kituo cha kutetea haki za wafungwa wa Kipalestina cha "Palestinian Prisoners Club" kilitangaza katika maadhimisho ya Siku ya Watoto Duniani iliyoadhimishwa tarehe 20 Novemba katika maeneo mbalimbali duniani kwamba, watoto 745 wa Kipalestina wametiwa mbaroni tangu ulipoanza mwaka huu wa 2019 hadi kufikia mwezi uliopita wa Oktoba.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS