Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain akiri kuanzishwa uhusiano wa nchi yake na Israel

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain akiri kuanzishwa uhusiano wa nchi yake na Israel

    Jul 18, 2019 21:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain amekariri tena madai yake kwamba kuanzishwa uhusiano wa nchi hiyo na utawala haramu wa Israel ndio 'msingi wa amani halisi' katika eneo la Asia Magharibi.

  • Iran: Israel isitutishe na F-35, jibu letu kwa chokochoko zake litakuwa kali

    Iran: Israel isitutishe na F-35, jibu letu kwa chokochoko zake litakuwa kali

    Jul 12, 2019 11:10

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya vitisho ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, jibu la taifa hili dhidi ya chokochoko za maadui litakuwa kali na la kuumiza.

  • Hamas yaapa kudumaza mpango wa Trump wa

    Hamas yaapa kudumaza mpango wa Trump wa "Muamala wa Karne"

    Jul 06, 2019 21:54

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa itaendeleza harakati za kupinga mpango eti wa amani uliozusha makelele mengi wa Rais Donald Trump wa Marekani baina ya utawala haramu wa Israel na Wapalestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne"

  • Maandamano ya wahajiri wa Ethiopia mjini Haifa, kupinga ukatili na ubaguzi wa rangi wa utawala wa Israel

    Maandamano ya wahajiri wa Ethiopia mjini Haifa, kupinga ukatili na ubaguzi wa rangi wa utawala wa Israel

    Jul 06, 2019 03:03

    Jamii ya wahajiri wa Ethiopia wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel, imeisababishia changamoto mpya serikali ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo, kutokana na maandamano yake mapya mjini Haifa.

  • Israel yawatia mbaroni makumi ya Wayahudi wa Kiethiopia, maandamano yashtadi

    Israel yawatia mbaroni makumi ya Wayahudi wa Kiethiopia, maandamano yashtadi

    Jul 04, 2019 21:54

    Makumi ya Wayahudi wenye asili ya Ethiopia wamekamatwa na jeshi la Polisi la utawala haramu wa Israel huku maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na ukandamizaji wa polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel yakishtadi.

  • OIC yalaani hatua ya Israel ya kuchimba njia ya chini ya ardhi Aqsa

    OIC yalaani hatua ya Israel ya kuchimba njia ya chini ya ardhi Aqsa

    Jul 04, 2019 09:17

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeukodoa vikali utawala haramu wa Israel kwa kuchimba njia ya chini ya ardhi inayopitia chini ya Msikiti wa al Aqsa mashariki mwa mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni hao.

  • Wayahudi wa Ethiopia waandamana kulalamikia ukatili wa polisi ya Israel

    Wayahudi wa Ethiopia waandamana kulalamikia ukatili wa polisi ya Israel

    Jul 03, 2019 02:55

    Maelfu ya Wayahudi wenye asili ya Ethiopia yaani Mafalasha wamefanya maandamano huko Tel Aviv kupinga ubaguzi wa rangi na ukandamizaji wa polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Oman yakanusha madai ya kutaka kuhuisha uhusiano wake na Israel

    Oman yakanusha madai ya kutaka kuhuisha uhusiano wake na Israel

    Jul 03, 2019 02:50

    Serikali ya Oman imekanusha vikali madai ya Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (MOSSAD) aliyedai kuwa Oman ipo mbioni kuhuisha uhusiano wake wa kidiplomasia na utawala huo haramu.

  • MOSSAD: Israel kufungua 'ubalozi wake' nchini Oman

    MOSSAD: Israel kufungua 'ubalozi wake' nchini Oman

    Jul 02, 2019 07:24

    Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (MOSSAD) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unatazamiwa hivi karibuni kufungua Ofisi ya Uwakilishi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala huo katili nchini Oman.

  • Bahrain: Tunataka kuimarisha uhusiano wetu na Israel

    Bahrain: Tunataka kuimarisha uhusiano wetu na Israel

    Jun 27, 2019 21:59

    Bahrain ambayo ilikuwa mwenyeji wa eti mkutano wa kiuchumi wa mjini Manama baada ya kuficha kwa muda mrefu uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel, hatimaye imefunguka na kusema kuwa inataka kuwa na amani na kuimarisha uhusiano wake na utawala huo haramu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS