Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Taasisi ya EU yapiga kura ya kutaka kususiwa Vyuo Vikuu vya Israel

    Taasisi ya EU yapiga kura ya kutaka kususiwa Vyuo Vikuu vya Israel

    Nov 23, 2018 04:32

    Taasisi moja ya akademia ya Umoja wa Ulaya imepasisha kwa wingi wa kura muswada wa kutaka kususiwa Vyuo Vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu za utawala haramu wa Israel ambazo ziko katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Ripoti: 70% ya kauli za viongozi wa Israel wakiongozwa na Netanyahu, ni porojo

    Ripoti: 70% ya kauli za viongozi wa Israel wakiongozwa na Netanyahu, ni porojo

    Nov 20, 2018 04:31

    Utafiti mpya umefichua kuwa, zaidi ya asilimia 70 ya matamshi yanayotolewa na wanasiasa wa utawala wa Kizayuni wa Israel ni urongo, porojo na propaganda, huku Waziri Mkuu wa utawala huo pandikizi, Benjamin Netanyahu akiongoza katika orodha hiyo.

  • Abdollahian: Muqawama wa Wapalestina umewavunja moyo Wazayuni

    Abdollahian: Muqawama wa Wapalestina umewavunja moyo Wazayuni

    Nov 19, 2018 00:45

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu yuko katika ncha ya kuanguka, na kwamba muqawama wa Wapalestina umewavunja moyo Wazayuni.

  • Ayatullah Kashani: Wanaounga mkono jinai za Saudia na Wazayuni wana sura za kuogofya

    Ayatullah Kashani: Wanaounga mkono jinai za Saudia na Wazayuni wana sura za kuogofya

    Nov 16, 2018 11:27

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, nchi ambazo zinazipa himaya na kuunga mkono jinai zinazofanywa na Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo nchi zenye sura za kutisha zaidi duniani.

  • Duru za habari: Baada ya Lieberman, Waziri wa Uhajiri wa Israel naye pia amejiuzulu

    Duru za habari: Baada ya Lieberman, Waziri wa Uhajiri wa Israel naye pia amejiuzulu

    Nov 15, 2018 03:48

    Vyombo vya habari vimeripoti kuwa waziri mwengine katika serikali ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, amejiuzulu.

  • Makubaliano ya usitishaji vita yamfanya Waziri wa Vita wa Israel ajiuzulu

    Makubaliano ya usitishaji vita yamfanya Waziri wa Vita wa Israel ajiuzulu

    Nov 14, 2018 11:05

    Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Avigdor Liberman ametangaza kujiuzulu wadhifa wake eti kulalamikia hatua ya harakati za mapambano za Palestina ikiwemo Hamas kufikia makubaliano ya kusitisha vita na utawala huo dhalimu katika Ukanda wa Gaza kupitia upatanishi wa Misri.

  • Wanamapambano wa Palestina wajibu mapigo, vituo vya Wazayuni vyamiminiwa makombora

    Wanamapambano wa Palestina wajibu mapigo, vituo vya Wazayuni vyamiminiwa makombora

    Nov 13, 2018 23:07

    Harakati za mapambano za Palestina alfajiri ya Jumatatu zilijibu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuvishambulia kwa makombora vitongoji zaidi ya 50 vya walowezi wa Kizayuni na vituo kadhaa vya askari wa Israel.

  • Saudia inanunua kwa siri silaha za Israel katika fremu ya 'Muamala wa Karne'

    Saudia inanunua kwa siri silaha za Israel katika fremu ya 'Muamala wa Karne'

    Nov 11, 2018 04:38

    Vyombo vya habari vya Kiarabu vimefichua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeiuzia Saudia Arabia vifaru vya kivita 500 aina ya Merkava vilivyoundwa katika viwanda vya utawala huo. Ununuzi huo wa siri umetajwa kuwa mkubwa zaidi kuwahi kufanyika baina ya Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni.

  • "Saudia ilitumia programu ya udukuzi ya Israel kumfuatilia Kashoggi"

    Nov 08, 2018 11:49

    Edward Snowden, afisa wa zamani wa Shirika la Usalama wa Taifa la Marekani (NSA) amefichua nafasi ya utawala haramu wa Israel katika mauaji ya kikatili ya mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi yaliyofanywa na Riyadh nchini Uturuki mwezi uliopita.

  • Viongozi wa Kikristo mjini Quds wakosoa ubaguzi wa Netanyahu

    Viongozi wa Kikristo mjini Quds wakosoa ubaguzi wa Netanyahu

    Nov 06, 2018 04:30

    Wakuu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Quds tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel wamemuandikia barua Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu wakikosoa misimamo yake ya kibaguzi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS