Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Mashambulizi ya Israel nchini Syria hayavumiliki tena

    Sayyid Hassan Nasrullah: Mashambulizi ya Israel nchini Syria hayavumiliki tena

    Sep 19, 2018 23:22

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mashambulizi ya mara kwa mara ya utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Syria hayavumiliki tena na inabidi yakomeshwe.

  • Ismail Hania: Maandamano ya Haki ya Kurejea na kuondolewa mzingiro hayatasimama

    Ismail Hania: Maandamano ya Haki ya Kurejea na kuondolewa mzingiro hayatasimama

    Sep 19, 2018 10:14

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, taifa la Palestina limeazimia kwamba, litasimama kidete kukabiliana na mzingiro wa adui Mzayuni hadi pale litakapousambaratisha.

  • Msimamo wa Theresa May wa kuitetea Israel, harakati ya kufuata nyayo za Trump

    Msimamo wa Theresa May wa kuitetea Israel, harakati ya kufuata nyayo za Trump

    Sep 19, 2018 02:06

    Serikali ya Kihafidhina (Conservative) ya Uingereza inahesabiwa kuwa miongoni mwa watetezi na waungaji mkono wakubwa wa utawala wa Kizayuni wa Israel na licha ya jinai na uhalifu mkubwa unaofanywa na utawala huo dhidi ya watu wa Palestina, lakini hakushuhudiwi mabadiliko ya aina yoyote katika mienendo ya London katika uwanja huu.

  • Wapalestina 2 wauawa shahidi kwa kombora la Israel, Gaza

    Wapalestina 2 wauawa shahidi kwa kombora la Israel, Gaza

    Sep 18, 2018 02:40

    Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa ukatili na jinai, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefyatua kombora kuelekea katika uzio wa Gaza na kuua shahidi Wapalestina wawili na kujeruhi wengine kadhaa.

  • Kutimuliwa Balozi wa Palestina nchini Markeani; hatua mpya ya Washington katika kuunga mkono Israel

    Kutimuliwa Balozi wa Palestina nchini Markeani; hatua mpya ya Washington katika kuunga mkono Israel

    Sep 17, 2018 23:26

    Hatua za kiuadui za Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Palestina na kuunga mkono kwake utawala haramu wa Israel kwa namna isiyo na kifani sasa zimeingia katika duru mpya.

  • Dunia yasubiri kuhukumiwa wahusika wa jinai za Sabra na Shatila

    Dunia yasubiri kuhukumiwa wahusika wa jinai za Sabra na Shatila

    Sep 17, 2018 02:58

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetaka kuhukumiwa wale wote waliohusika na mauaji ya Sabra na Shatila huko Lebanon.

  • UNCTAD: Wapalestina Ghaza wanakabiliwa na hali mbaya kutokana na mzingiro wa Israel

    UNCTAD: Wapalestina Ghaza wanakabiliwa na hali mbaya kutokana na mzingiro wa Israel

    Sep 14, 2018 02:23

    Ukanda wa Ghaza umegeuka kuwa janga la kibinadamu lililogubikwa na madhila na utegemezi wa misaada kila uchao kutokana na mzingiro wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ardhi hiyo ya Palestina.

  • Wasiwasi kuhusu harakati mpya za Israel za kukivunja kijiji kingine cha kiistratijia cha Wapalestina

    Wasiwasi kuhusu harakati mpya za Israel za kukivunja kijiji kingine cha kiistratijia cha Wapalestina

    Sep 14, 2018 02:09

    Hatua ya jeshi la utawala katili wa Israel ya kuzidi kukizingira kijiji cha kiistratijia cha Khan al Ahmar cha mashariki mwa mji mtakatifu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, imezusha wasiwasi kuwa Israel imekusudia kukishambulia na kukikalia kwa mabavu kijiji hicho na kuwafanya wakimbizi wakazi wake.

  • Saudia yanunua mfumo wa makombora kutoka Israel

    Saudia yanunua mfumo wa makombora kutoka Israel

    Sep 13, 2018 09:22

    Saudi Arabia imeripotiwa kununua mfumo wa ngao ya makombora kutoka utawala wa Kizayuni wa Israel, katika hali ambayo ripoti zinasema tawala mbili hizo zipo mbioni kuweka wazi na kuimarisha uhusiano wao.

  • Kijana mlemavu wa Kipalestina afungwa jela miaka 35 na Israel

    Kijana mlemavu wa Kipalestina afungwa jela miaka 35 na Israel

    Sep 12, 2018 22:57

    Mahakama moja ya utawala haramu wa Israel imemhukumu kifungo cha miaka 35 jela kijana mlemavu wa Kipalestina kwa madai ya kuwashambulia askari wawili wa utawala huo katili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS