-
Wananchi wa Iran wafanya maandamano kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 18, 2018 10:15Wananchi wa Iran wamemiminika mabarabarani baada ya Sala ya Ijumaa hii leo kushiriki maandamanao ya kulaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina, sambamba na uamuzi wa upande mmoja wa Marekani wa kuuhamishia ubalozi katika mji mtukufu wa Quds, kutoka Tel Aviv.
-
Mkuu wa haki za binadamu wa UN ataka kuchunguzwa jinai za kivita za Israel
May 18, 2018 09:30Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kufanywa uchunguzi huru juu ya mauaji ya raia wa Kipalestina wa Ukanda wa Ghaza yaliyofanywa hivi karibuni na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni.
-
Waarabu wazidi kujipendekeza kwa Israel; Waziri wa utawala huo kuelekea Imarati Oktoba
May 17, 2018 23:29Waziri wa Mawasiliano wa Utawala Katili wa Israel amesema kuwa mwaka huu na kwa mara ya kwanza atashiriki mkutano nchini Imarati, katika safari ya kwanza rasmi kwa kiongozi wa ngazi ya juu wa Kizayuni katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Israel yakasirishwa na taarifa ya Baraza la Haki za Binadamu kuhusu mauaji ya raia Ghaza
May 17, 2018 09:35Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni ametaka Israel iondoke haraka katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kufuatia kulaaniwa utawala huo katika kikao cha baraza hilo.
-
Mtoto wa miezi 8 ni mmoja wa Wapalestina waliouawa na jeshi katili la Israel
May 16, 2018 03:21Mtoto mwenye umri wa miezi minane tu ni mmoja wa wahanga wa ukatili wa hivi punde wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Arab League yaitisha kikao cha dharura kujadili mauaji ya umati ya Wapalestina
May 16, 2018 03:00Huku nchi mbalimbali za dunia zikiendelea kulaani vikali mauaji ya umati yaliyofanywa na askari wa utawala bandia wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeaitisha kikao cha dharura kujadili ukatili huo.
-
Marekani yawalaumu Wapalestina kwa kuuawa na askari wa Israel, Gaza
May 15, 2018 22:11Ikulu ya Marekani White House imejitokeza kuutetea hadharani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 54 waliokuwa wakishiriki maandamano katika Ukanda wa Gaza siku ya Jumatatu.
-
Rais wa Uturuki: Israel inaisukuma Mashariki ya Kati kwenye lindi la vita
May 13, 2018 22:36Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unapanda mbegu za hofu na kulisukuma eneo la Mashariki ya Kati kwenye lindi la vita.
-
Waisraeli wajiunga na Wapalestina katika maandamano dhidi ya US
May 13, 2018 03:16Mamia ya Waisraeli wamejiunga na Wapalestina katika maandamano ya kupinga hatua ya kiuhasama ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu, kutoka Tel Aviv.
-
Iran yaiandikia barua UN kuilaani Israel kwa kuunga mkono magaidi
May 12, 2018 00:08Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Katibu Mkuu wa umoja huo na kuulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwaunga mkono magaidi katika nchi za eneo hili ikiwemo Syria.