Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Spiegel: Serikali ya Ujerumani imeidhinisha kutuma kiasi kikubwa cha silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Spiegel: Serikali ya Ujerumani imeidhinisha kutuma kiasi kikubwa cha silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 26, 2024 03:20

    Jarida la Spiegel limetangaza kuwa serikali ya Ujerumani imeidhinisha kutumwa kiasi kikubwa cha silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendeza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda Gaza.

  • Barua ya Iran kwa Baraza la Usalama baada ya Israel kukiri ilihusika na mauaji ya Ismail Haniyeh

    Barua ya Iran kwa Baraza la Usalama baada ya Israel kukiri ilihusika na mauaji ya Ismail Haniyeh

    Dec 25, 2024 08:37

    Amir Saeid Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa jana Jumanne alimwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisisitiza kwamba, Israel imebeba dhima ya kuhusika na mauaji ya Shahidi Ismail Haniyeh, mkuu zamani wa Idara ya Siasa ya harakati ya Hamas.

  • Ukatili wa kijinsia unazidi kuongezeka Kenya, matukio zaidi ya 7,000 yameripotiwa katika mwaka mmoja

    Ukatili wa kijinsia unazidi kuongezeka Kenya, matukio zaidi ya 7,000 yameripotiwa katika mwaka mmoja

    Dec 25, 2024 03:24

    Kenya inakabiliwa na ongezeko la kutisha la ukatili wa kijinsia, baada ya kesi zaidi ya 7,100 kuripotiwa tangu Septemba 2023, ikiwa ni pamoja na mauaji 100 yaliyorekodiwa ya wanawake tangu Agosti mwaka huu. Hayo ni kwa mujibu wa rekodi za serikali.

  • Israel yakishambulia kituo cha ulinzi wa raia katika mji wa Gaza

    Israel yakishambulia kituo cha ulinzi wa raia katika mji wa Gaza

    Dec 25, 2024 00:05

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimekishambulia kituo cha ulinzi wa raia katika mji wa Gaza.

  • Bendera ya Israel yashushwa katika jengo la ubalozi wa Israel Dublin

    Bendera ya Israel yashushwa katika jengo la ubalozi wa Israel Dublin

    Dec 20, 2024 23:27

    Bendera ya utawala haramu wa Israel imeshushwa na kuondolewa katika jengo la ubalozi wa Israel mjini Dublin Ireland baada ya ubalozi wa utawala huo kufungwa.

  • Baada ya Yemen kuitwanga Tel Aviv kwa kombora la 'hypersonic, US na UK zashambulia San'aa

    Baada ya Yemen kuitwanga Tel Aviv kwa kombora la 'hypersonic, US na UK zashambulia San'aa

    Dec 17, 2024 03:46

    Siku moja baada ya vikosi vya ulinzi vya Yemen kushambulia mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Tel Aviv kwa kombora la 'hypersonic, la Palestina 2 ndege za kivita za Marekani na Uingereza zimeshambulia maeneo kadhaa ya mji mkuu wa Yemen, Sana'a.

  • Wamagharibi na mchezo wa undumakuwili kuhusu jinai za Israel

    Wamagharibi na mchezo wa undumakuwili kuhusu jinai za Israel

    Dec 15, 2024 23:09

    Licha ya hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai dhidi ya viongozi wa utawala wa Kizayuni, mahakama ya Uholanzi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa kwa lengo la kuzuia kuuziwa silaha za nchi hiyo utawala ghasibu wa Israel.

  • Kupitishwa maazimio mawili katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza na UNRWA

    Kupitishwa maazimio mawili katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza na UNRWA

    Dec 13, 2024 11:19

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa wingi wa kura maazimio mawili yanayotoa wito wa kusitishwa mara moja vita vya Gaza na pia kuunga mkono shughuli za Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

  • Iran yalaani jinai na uvamizi wa mfululizo wa Israel dhidi ya Syria

    Iran yalaani jinai na uvamizi wa mfululizo wa Israel dhidi ya Syria

    Dec 10, 2024 03:03

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali uvamizi na mashambulizi ya mara kwa mara wa utawala wa Kizayuni dhidi ya miundombinu ya Syria ambapo Israel imeteka na kukalia kwa mabavu maeneo mengine ya Syria katika kipindi cha siku chache zilizopita.

  • Utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), mtihani kwa Wamagharibi

    Utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), mtihani kwa Wamagharibi

    Nov 24, 2024 10:24

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya haki za binadamu huko Palestina amesema kuwa utekelezaji na kushikamana nchi za Magharibi na uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kuwakamata viongozi wa utawala wa Kizayuni ni mtihani wa kupima azma na uwajibikaji wa Wamagharibi kuhusu hukumu hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS