-
Israel yatishia kumuua kigaidi Khalid Mashaal
Aug 31, 2024 04:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel ametoa vitisho kwamba utawala huo wa Kizayuni utamuua kigaidi Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Ughaibuni ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS), Khaled Mash'al.
-
Wito wa Umoja wa Mataifa wa kusimamishwa operesheni za kijeshi za utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Aug 30, 2024 09:07Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameutaka utawaa ghasibu wa Israel kusitisha mara moja operesheni zake za kijeshi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Namibia: Hatutoruhusu meli ya silaha za Israel kutia nanga nchini kwetu
Aug 28, 2024 23:24Meli ya MV Kathrin iliyokuwa ikisafiri kutoka Vietnam imenyimwa kibali cha kutia nanga katika Bandari ya Walvis, pwani ya Namibia, huku Waziri wa Sheria wa Namibia akisema kuwa nchi yake inafungamana na wajibu wa kutounga mkono au kuhusika katika uhalifu wa kivita wa Israel.
-
Sisitizo la Pentagon la uungaji mkono kamili wa Marekani kwa Israel; ruhusa kwa ajili ya jinai zaidi
Aug 28, 2024 01:04Katika muendelezo wa uungaji mkono wa maafisa wa Ikulu ya White House kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesisitiza azma ya Washington ya kuendelea kuuunga mkono utawala huo.
-
Pezeshkian: Waislamu lazima waungane kukomesha jinai za Israel
Aug 26, 2024 23:05Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuna haja kwa mataifa ya Waislamu pamoja na nchi nyingine duniani kuungana na kuwa na sauti moja katika kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake kukomesha mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
CAIR: Israel imetangaza vita dhidi ya Uislamu kwa kuchoma moto Qur'ani
Aug 25, 2024 23:00Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limelaani vikali kitendo cha wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuchoma moto nakali za Qur'ani Tukufu katika Ukanda wa Gaza.
-
Wanaharakati waitaka Afrika Kusini iiwekee Israel vikwazo vya biashara
Aug 25, 2024 22:59Wanaharakati wameitaka Afrika Kusini iuwekee utawala wa Kizayuni wa Israel vikwazo vya kibiashara na kusimamisha mara moja mauzo ya nje ya bidhaa zake kwa utawala huo pandikizi.
-
Hizbullah yakitwanga makombora kituo cha anga cha Israel, yateketeza mitambo ya ujasusi
Aug 23, 2024 23:05Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imekishambulia kwa makombora kadhaa kituo cha uongozaji wa shughuli za anga cha Meron cha utawala wa Kizayuni wa Israel na kubomoa mitambo ya ujasusi ya kituo hicho.
-
Ombi la Shirika la Haki za Binadamu la Ulaya-Mediterranean la kuwekewa vikwazo Israel
Aug 22, 2024 07:16Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Ulaya na Mediterania (The Euro-Mediterranean Human Rights Monitor-Euro-Med-) limeonya katika taarifa yake siku ya Jumatano kuhusu amri za mara kwa mara za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuwataka Wapalestina wahame katika maeneo tofauti ya Gaza na kuzitaka nchi za dunia ziuwekee vikwazo utawala huo ghasibu na zisiuunge mkono.
-
Iran: Mbinu na muda wa jibu letu vitaishangaza mno Israel
Aug 21, 2024 04:23Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imesema Jamhuri ya Kiislamu inapanga kwa makini muda na mbinu ya kulipiza kisasi cha mauaji ya kigaidi ya aliyekuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Wapalestina (HAMAS), Ismail Haniyah akiwa hapa Tehran.