-
Wanajihadi wa HAMAS wadhibiti ndege isiyo na rubani ya Israel
Mar 03, 2024 04:09Wanamapambano wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS wametangaza habari ya kutwaa na kudhibiti ndege isiyo na rubani ya Israel (droni), ikiwa ni kuendelea kujibu jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Israel yapuuza malalamiko ya dunia, yaendelea kumwaga damu za Wapalestina
Mar 02, 2024 08:19Kwa akali Wapalestina 17 wameuawa shahidi katika mashambulizi mapya ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyolenga nyumba tatu za Wapalestina katika maeneo ya Deir el-Balah na Jabalia katika Ukanda wa Gaza.
-
Baada ya mazungumzo ya Moscow, mirengo ya Palestina yaapa kuungana pamoja dhidi ya Israel
Mar 01, 2024 23:37Makundi ya Palestina ikiwemo Hamas na Fat-h yamesema yatafuata "umoja wa kivitendo" katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya wawakilishi wao kukutana katika mazungumzo yaliyoandaliwa na Russia mjini Moscow.
-
Ben-Gvir awapongeza wanajeshi wa Israel walioua zaidi ya Wapalestina 100 Ghaza, US yaizuia UN isitoe tamko
Mar 01, 2024 23:37Waziri wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel mwenye misimamo mikali ya chuki amewapongeza wanajeshi wa utawala huo walioua zaidi ya Wapalestina 100 waliokuwa wakisubiri misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro.
-
Haniyeh awataka Wapalestina kuandamana kwenye Msikiti wa Al-Aqsa siku ya 1 ya Ramadhani
Feb 29, 2024 08:37Mkuu wa Ofisi ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amewataka Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel kuandamana hadi Msikiti wa Al-Aqsa katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Waingereza waitaka London iache kuipa silaha Israel
Feb 28, 2024 03:18Wanaharakati wa haki nchini Uingereza wamefanya maandamano makubwa ya kuitaka serikali ya nchi hiyo isitishe mauzo ya silaha kwa utawala haramu wa Israel.
-
Maduro akosoa jinai za kikoloni za Israel dhidi ya Palestina
Feb 28, 2024 03:16Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema jinai na mashambulizi ya kinyama yanayofanywa na Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza ni ishara ya wazi kuwa utawala wa Kizayuni unaendeleza malengo ya kikoloni dhidi ya Palestina.
-
Maandamano yafanyika Washington na Los Angeles US kumuenzi askari aliyejichoma moto kulalamikia jinai za Israel
Feb 28, 2024 00:16Wamarekani wameandamana katika miji ya Washington na Los Angeles kumuenzi mwanajeshi wa nchi hiiyo aliyejichoma moto kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na kulalamikia jinai za kinyama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi hao madhulumu.
-
OIC yaziomba nchi zote duniani zisiuuzie silaha utawala wa Kizayuni wa Israel
Feb 27, 2024 07:50Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) amezitaka nchi zote duniani kuacha kutuma silaha na zana za kijeshi kwa utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel.
-
Ngome za Israel zanyeshewa kwa 'mvua' ya makombora ya Hizbullah
Feb 25, 2024 06:25Wanajihadi wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebaon wameshambulia kwa makombora na maroketi kambi kadhaa za utawala wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu usiku wa kuamkia leo.