-
Kufanyika kura ya maoni Palestina; mkakati na suluhisho la Iran
Jul 23, 2024 13:59Nasser Kanani, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, "suluhisho bora zaidi la kuhitimisha hali haramu ya sasa katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni kufanyika kura ya maoni jumuishi kwa kushirikisha wakaazi wote na raia asili wa ardhi hiyo."
-
Kuendelea uthabiti wa sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 27, 2024 10:27Baada ya kufa shahidi Seyyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Hossein Amir Abdullahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya 13, suala la kudumishwa uthabiti wa siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limepewa mazingatio makubwa.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mapenzi makubwa ya wananchi kwa shahidi Raisi ulikuwa ujumbe kwa dunia kwa manufaa ya Iran
May 24, 2024 16:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema amemtaja Rais shahidi wa Iran kuwa ni dhihirisho la nara za Mapinduzi ya Kiislamu na kusema: Mapenzi waliyoonyesha wananchi kwake yametoa ujumbe kwa walimwengu kwa manufaa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Usalama kwenye uchaguzi; mafanikio muhimu ya kisiasa ya Iran
Feb 28, 2024 10:07Moja ya mafanikio na matunda muhimu zaidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi cha miaka 45 iliyopita ni kufanyika chaguzi 39 katika mazingira salama na ya amani kamili.
-
Amir-Abdollahian: Israel inahatarisha usalama wa Asia Magharibi
Feb 21, 2024 07:45Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa wa Iran amesema kuwa, utawala haramu wa Israel umehatarisha usalama wa eneo la Asia Magharibi.
-
Iran yazindua mifumo mipya ya ulinzi ya kukabili makombora
Feb 17, 2024 11:34Jeshi la Iran limezindua mifumo mipya ya kistratijia katika sekta za makombora na ulinzi wa anga.
-
Alfajiri Kumi; Uongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika njia ya Imam Khomeini (M.A)
Feb 05, 2024 03:15Mtafiti na Mhadhiri wa Chuo Kikuu katika mji wa Zaria nchini Nigeria amesema kuwa, Ayatullah Khamenei anaongoza Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika njia sawa na ya Imam Khomeini (M.A).
-
Raisi: Damu za mashahidi wa Palestina zitaleta nidhamu ya dunia yenye uadilifu
Nov 19, 2023 14:36Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema 'nidhamu mpya ya dunia yenye uadilifu' itaibuka kutokana na damu za wananchi wa Palestina zilizomwagwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita vyake vya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Dola bilioni 1.7 za Iran zilizokuwa zimezuiliwa Luxemburg zaachiwa
Oct 08, 2023 03:24Dola bilioni 1.7 katika hazina ya fedha za kigeni za Iran zilizokuwa zimezuliwa nchini Luxemburg zimeachiliwa.
-
Rais Raisi: Kasi ya mwenendo wa maendeleo ya Iran katika nyuga tofauti inaongezeka
Sep 07, 2023 08:02Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran inaendelea kwa kasi kupiga hatua za maendeleo katika nyanja za kiuchumi, kijamii na kiutamaduni.