Jul 11, 2019 12:25
Ripota na Mkaguzi wa Umoja wa Mataifa ametaka Jamii ya Kimataifa, Umoja wa Ulaya na madola mengine makubwa duniani yakate uhusiano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa dhamira ya kuunga mkono matakwa ya wananchi madhulumu wa Palestina.