-
Barua ya Zarif kwa walimwengu; uzushi wa Marekani ni hatari kubwa
Apr 18, 2019 12:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka serikali zote za dunia kuchukua msimamo wa kimsingi, imara na unaozingatia sherika katika kukabiliana na hatua ya Marekani ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH katika orodha yake ya makundi ya kigaidi.
-
Udharura wa dunia kuzingatia kadhia ya wakimbizi wa Palestina
Jun 20, 2018 13:36Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS, imesisitiza kuwa, jukumu la kutetea haki zote za kisiasa na kifedha za wakimbizi Wapalestina ni la jamii ya kimataifa na hasa Umoja wa Mataifa.
-
UN yataka kuongezwa misaada ya kibinadamu nchini Sudan
May 16, 2018 13:40Umoja wa Mataifa umeitaka jamii ya kimataifa kuongeza misaada ya kibinadamu kwa Sudan kutokana na hali ya kimaisha kuzidi kuwa mbaya nchini humo.
-
Palestina yataka jamii ya kimataifa ichukue hatua imara kukabiliana na kura ya turufu ya Marekani
Apr 08, 2018 13:55Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetoa taarifa na kuitaka jamii ya kimatiafa itafute mbinu mpya ya kukabiliana na namna Marekani inavyotumia vibaya kura yake ya turufu au veto katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mtaifa kwa ajili ya kuutetea utawala wa Kizyauni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya Wapalestina.
-
Juhudi za Marekani za kuvuruga usalama wa Syria
Feb 06, 2018 08:00Mwandishi na mtaalamu mmoja wa masuala ya kisasa wa nchini Marekani amesema kuwa nchi hiyo inafanya juhudi kubwa za kuuhadaa ulimwengu kuhusiana na suala la Syria.
-
Umoja wa Mataifa waitaka jamii ya kimataifa kufanya juhudi za kurejesha amani CAR
Oct 27, 2017 15:27Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka jamii ya kimataifa kufanya juhudi za kurejesha amani na utulivu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Zarif: Jamii ya Kimataifa haijali mchezo wa kuigiza wa Marekani dhidi ya Iran
Jul 19, 2017 08:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiilslamu ya Iran amesema kuwa, jamii ya kimataifa itaendelea kushirikiana na Iran bila ya kujali mchezo wa kuigiza wa vikwazo vya Marekani.
-
Rais wa Puntland ataka jamii ya kimataifa iisaidie Somalia kupambana na al-Shabab
Jun 11, 2017 13:50Rais wa eneo lililojitangazia uhuru la Puntland la kaskazini mashariki mwa Somalia ameitaka jamii ya kimataifa iisaidie Somalia katika kupambana na kundi la kigaidi la al-Shabab.
-
Zarif: Ufahamu wa pamoja wa jamii ya kimataifa ni njia pekee ya kupambana na uchupaji mipaka
Apr 23, 2017 13:38Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa njia pekee ya kupambana vyema na vikali na ugaidi na vitendo vya uchupaji mipaka ni kwa jamii ya kimataifa kuwa na ufahamu wa pamoja na hivyo kuweza kulipatia ufumbuzi tatizo hilo kubwa.
-
Al-Wefaq: Jamii ya kimataifa imefumbia macho mzingiro wa Diraz, Bahrain
Jan 04, 2017 03:57Chama kikuu cha upinzani nchini Bahrain kimekosoa kimya cha jamii ya kimataifa juu ya mzingiro dhidi ya eneo la Diraz na ukandamizaji wanaofanyiwa wakazi wa eneo hilo kwa zaidi ya nusu mwaka sasa.