-
Umoja wa Mataifa: Nchi za eneo la Pembe ya Afrika zipelekewe misaada
Dec 10, 2016 03:05Umoja wa Mataifa umeitolea wito jamii ya kimataifa kutoa misaada zaidi kwa mamilioni ya watu katika eneo la Pembe ya Afrika wanaosumbuliwa na njaa.
-
Jamhuri ya Afrika ya Kati yaomba msaada kuboresha hali ya nchi
Nov 17, 2016 15:53Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ametoa wito wa kuwepo mshikamamo na ukarimu wa jamii ya kimataifa kwa nchi yake ili kusaidia kuboresha hali ya mambo nchini humo.
-
UN yatoa wito wa kupambana na Boko Haram
Jul 29, 2016 16:38Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ameitolea wito kwa jamii ya kimataifa kuunga mkono pakubwa mapambano dhidi ya kundi la Boko Haram.
-
Dunia yaendelea kuikosoa Bahrain kwa kumvua uraia Sh. Isa Qassim
Jun 21, 2016 14:58Hatua ya utawala wa Bahrain kumvua uraia mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Isa Qassim, imeendelea kulaaniwa na asasi mbalimbali duniani, shakhsia mashuhuri na jamii ya kimataifa kwa ujumla.
-
Wito wa Iraq kwa Jamii ya Kimataifa kuisaidia katika vita dhidi ya ugaidi
May 16, 2016 07:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Ibrahim al-Jaafari ameiomba Jamii ya Kimataifa iisaidie nchi yake katika vita dhidi ya ugaidi.