-
Waziri Mkuu wa Japan amwachisha kazi msaidizi wake kwa kupinga ndoa za watu wa jinsia moja!
Feb 05, 2023 07:48Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida amemwachisha kazi katibu wake mmoja kwa sababu ya matamshi yaliyotafsiriwa kuwa ya chuki dhidi ya maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja; na kusema, matamshi hayo yaliyotolewa na msaidizi wake huyo wa masuala ya kiuchumi ni "ya kuchukiza".
-
Russia: Waziri Mkuu wa Japan ni msaliti wa wahanga wa mashambulio ya nyuklia ya Marekani
Jan 15, 2023 02:23Naibu wa Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia amesema kuwa, Waziri Mkuu wa Japan ni msaliti wa wahanga wa mashambulio ya nyuklia ya Marekani nchini mwake na kusisitiza kuwa, waziri mkuu huyo anatumikia malengo ya kibeberu ya Marekani.
-
China: Japan inatia shaka kwamba inataka suluhu wakati imeongeza mno bajeti ya kijeshi
Dec 28, 2022 11:25Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema mipango ya Japan ya kuongeza kwa kiwango kikubwa mno bajeti yake ya kijeshi inatia wasiwasi na kusisitiza kwamba: kuna shaka kuwa hatua hiyo ya Tokyo imechukuliwa kwa nia ya kuleta suluhu na amani.
-
Japan yataka Umoja wa Afrika upewe uanachama wa G20
Dec 20, 2022 02:40Japan imetangaza kuwa inaunga mkono pendekezo la kupewa uanachama Umoja wa Afrika (AU) katika kundi la G20.
-
Korea Kaskazini yafyatua kombora la balestiki kuelekea Japan
Oct 04, 2022 07:51Korea Kaskazini imefyatua kombora lake la balestiki kuelekea upande wa Japan, na kupelekea kusitishwa kwa usafiri wa treni katika baadhi ya maeneo, huku Wajapani katika maeneo ya kaskazini wakitakiwa kujificha.
-
Kombora jipya la Korea Kaskazini na kiwingu kizito cha vita Kusini Mashariki mwa Asia
Sep 26, 2022 08:20Hatua ya Korea Kaskazini ya kufanyia majaribio kombora lake jipya kuelekea upande wa Bahari ya Japan imepokewa kwa hisia kali na nchi mbili za Japan na Korea Kusini.
-
Guterres: Wanaadamu wanacheza na bunduki iliyosheheni risasi
Aug 06, 2022 08:01Katika kumbukumbu ya miaka 77 ya shambulio la mabomu ya nyuklia ya Marekani dhidi ya Japan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kwamba ubinadamu unacheza na bunduki iliyosheheni risasi katika anga ya migogoro ya sasa ya hatari ya nyuklia.
-
Ushindi wa chama tawala cha Liberal Democratic Party of Japan katika uchaguzi wa Seneti
Jul 12, 2022 10:06Chama tawala nchini Japan cha Liberal Democratic (LDP) na washirika wake wa muungano wa Chama cha Komeito waliimarisha udhibiti wao katikia Baraza la Juu la Bunge la nchi hiyo kwa kushinda zaidi ya viti 75 kati ya viti 125 vya taasisi hiyo.
-
Polisi ya Japan yakiri uzembe ulisababisha kuuawa Shinzo Abe
Jul 10, 2022 09:31Jeshi la Polisi nchini Japan limekiri kuwa udhaifu katika mipango ya usalama ulipelekea kuuawa waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Shinzo Abe siku ya Ijumaa.
-
Kuuawa kigaidi Shinzo Abe; mwisho wa 'Tina' wa Japan
Jul 09, 2022 11:10Shinzo Aben, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan alifariki dunia Ijumaa asubuhi baada ya kupigwa risasi mbili katika tukio la ugaidi.