Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; fedheha ya kidemokrasia ya Marekani na mustakabali wa JCPOA

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; fedheha ya kidemokrasia ya Marekani na mustakabali wa JCPOA

    Jan 08, 2021 10:28

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa siku ya leo ya maadhimisho ya mapambano ya Dei 19 ya wananchi wa Qum dhidi ya utawala wa kiimla wa Shah ambapo ameashiria matukio ya hivi karibuni nchini Marekani, sharti la Iran la kurejea Washington katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na uwepo wa kieneo na uwezo wa kiulinzi wa Iran.

  • Iran yaanza kurutubisha urani kwa asilimia 20 katika kituo cha Fordow

    Iran yaanza kurutubisha urani kwa asilimia 20 katika kituo cha Fordow

    Jan 04, 2021 12:16

    Msemaji wa serikali ya Iran ametangaza rasmi habari ya kuanza kurutubishwa tena madini ya urani kwa kiwango cha asilimia 20 katika kituo cha nyuklia cha Fordow, kilichoko kaskazini mashariki mwa mji wa Qum kusini mwa mji mkuu wa nchi hii, Tehran.

  • Ali Shamkhani: Chaguo pekee la Marekani ni kuondoa vikwazo vyote dhidi ya Iran

    Ali Shamkhani: Chaguo pekee la Marekani ni kuondoa vikwazo vyote dhidi ya Iran

    Jan 04, 2021 00:00

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, chaguo pekee la Marekani ni kuondoa vikwazo vyote dhidi ya Iran na hivyo kuachana na mkakati wake uliofeli wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Khatibzadeh: Mizozo ya Afghanistan inaweza kupatiwa ufumbuzi kwa njia za kisiasa

    Khatibzadeh: Mizozo ya Afghanistan inaweza kupatiwa ufumbuzi kwa njia za kisiasa

    Dec 28, 2020 08:52

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njia ya kuipatia ufumbuzi mizozo na mivutano inayoikabili Afghanistan ni utatuzi wa kisiasa.

  • Wabunge 150 wa Marekani wamtaka Biden airejeshe nchi hiyo katika JCPOA

    Wabunge 150 wa Marekani wamtaka Biden airejeshe nchi hiyo katika JCPOA

    Dec 24, 2020 04:44

    Wabunge 150 wa chama cha Democratic nchini Marekani wamemuandikia barua rais mteule wa nchi hiyo, Joe Biden wakiunga mkono azma yake ya kutaka kuirejeshe nchi hiyo kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA pasi na masharti yoyote mapya.

  • Marais wa Russia na Ufaransa wataka kulindwa mapatano ya JCPOA

    Marais wa Russia na Ufaransa wataka kulindwa mapatano ya JCPOA

    Dec 23, 2020 08:55

    Marais Vladimir Putin wa Russia na Emmanuel Macron wa Ufaransa wametoa mwito wa kuweko jitihada za pamoja za kuyalinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • China: Chanzo cha matatizo ni Marekani kujitoa JCPOA na kuanzisha mashinikizo ya juu kabisa

    China: Chanzo cha matatizo ni Marekani kujitoa JCPOA na kuanzisha mashinikizo ya juu kabisa

    Dec 22, 2020 09:19

    China imesisitiza kuwa, kurudi Marekani kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuanza tena kutekeleza majukumu yake ndio njia sahihi na ya kimantiki ya kupunguza mivutano.

  • Zarif: Nchi za Ulaya zimekiuka wajibu wao katika JCPOA

    Zarif: Nchi za Ulaya zimekiuka wajibu wao katika JCPOA

    Dec 22, 2020 00:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema data za miamala ya kibiashara baina ya nchi hii na Ulaya kati ya mwaka 2014 na 2019 zinaonesha wazi kuwa nchi tatu za Ulaya washiriki wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA zilikiuka wajibu wao wa kisheria.

  • Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na kundi la 4+1 wasisitiza kulinda mapatano ya JCPOA

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na kundi la 4+1 wasisitiza kulinda mapatano ya JCPOA

    Dec 21, 2020 09:44

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na nchi zinazounda kundi la 4+1 wamesisitiza katika kikao chao juu ya kuyalinda mapatano ya JCPOA.

  • Guterres ataka nchi wanachama wa UN  kushirikiana na Iran kibiashara

    Guterres ataka nchi wanachama wa UN kushirikiana na Iran kibiashara

    Dec 19, 2020 08:49

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza katika ripoti ya utekelezaji wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa juu ya udharua wa kulindwa mapatano ya JCPOA na kuzitaka nchi zote wanachama wa umoja huo kuanzisha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi na Iran kwa mujibu wa azimio hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS