-
Iran: Marekani haina misingi ya kisheria kujifanya mshiriki wa JCPOA
May 03, 2020 03:41Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Taasisi za Kimataifa mjini Vienna amesema jitihada za Marekani za kutaka kuionesha dunia kuwa ingali mshiriki wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hazina misingi ya kisheria.
-
Russia yakosoa msimamo wa kinafiki wa Marekani kuhusu JCPOA na azimio 2231
May 02, 2020 22:01Licha ya kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mwezi Mei 2018, Marekani imekuwa na msimamo wa kinafiki na kimaslahi kuhusiana na mapatano hayo pamoja na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Makubaliano ya JCPOA; kuanzia kushindwa “mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa” hadi “ndoto za alinacha” za Mike Pompeo
Apr 30, 2020 20:09Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, juhudi za Marekani za kutaka kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran zinakwenda kinyume na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Upinzani wa madola ya Ulaya kwa takwa la Marekani la kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Apr 30, 2020 07:35Moja ya vipengee muhimu katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran baada ya miaka mitano tangu kuanza kutekelezwa makubaliano hayo.
-
Iran: Marekani haina hoja ya kisheria ya kuwa mshirika wa JCPOA
Apr 30, 2020 03:33Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani haina hoja ya kisheria ya kutaka kuwa mshirika wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Mpango wa Pompeo wa kuzuia kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Apr 28, 2020 02:43Kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, imepangwa kuwa, ifikapo tarehe 18 Oktoba 2020, vikwazo vya silaha dhidi ya Iran viondolewe.
-
Trump akariri tena ombi lake la kufanya mazungumzo na Iran
Apr 02, 2020 10:23Rais Donald Trump wa Marekani amedai kwamba, 'Marekani haitaki uadui na Iran na kwamba italazimika kufanya nayo mazungumzo.'
-
Upinzani wa mrengo wa Mashariki wa kundi la 4+1 kwa msimamo wa IAEA kuhusu Iran
Mar 05, 2020 22:54Ripoti ya mwisho kabisa ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuhusiana na miradi ya nyuklia ya Iran, mbali na kudai kwamba Tehran haikuchunga mipaka iliyowekwa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA, imetoa madai mengine mapya kuhusu Iran, mambo ambayo yamepingwa na mrengo wa Mashariki wa kundi la 4+1 ambao unaundwa na nchi mbili za Russia na China.
-
Rais Rouhani asisitiza kuwa JCPOA itabakia hai kwa ushirikiano
Feb 29, 2020 23:39Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yataendelea kuwepo na kubakia hai madhali kutakuwepo na ushirikiano wa pande zote husika.
-
Rouhani: Iran haijafunga mlango wa mazungumzo ya kuinusuru JCPOA
Feb 23, 2020 10:02Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haijafunga mlango wa kufanya mazungumzo na nchi za Ulaya kwa shabaha ya kuyanusuru makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.