-
JCPOA, fursa kwa ajili ya kujitegemea kifedha Ulaya
Oct 06, 2018 22:56Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akikosoa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ambayo yalifikiwa kati ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo na Marekani yenyewe na kuyatataja makubaliano hayo kuwa ndiyo mabaya zaidi kuwahi kufikiwa.
-
Pigo jingine kubwa kwa Trump: Mahakama ya juu zaidi ya UN yaiamrisha Marekani iiondolee vikwazo Iran + Video
Oct 03, 2018 10:59Tehran imepata ushindi mwingine mbele ya Marekani baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kutoa amri kwa Washington kusimamisha vikwazo vyake vya upande mmoja haraka iwezekanavyo dhidi ya Iran.
-
Qassemi: Msimamo wa Ulaya unakidhi maslahi ya Iran katika JCPOA
Oct 01, 2018 11:17Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kumekuwa na hali ya kukaribiana misimamo ya Iran na Ulaya kuhusiana na kukidhiwa maslahi ya Tehran baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA kwa kifupi.
-
Zarif: Ikiwa utaratibu uliowekwa na Ulaya hautotekelezeka, Iran itajitoa kwenye JCPOA
Sep 30, 2018 04:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, ikiwa utaratibu maalumu ulioratibiwa na Ulaya kwa ajili ya kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hautakuwa na ufanisi wa utekelezaji, Iran itajitoa kwenye makubaliano hayo.
-
Uungaji mkono imara wa Russia na China kwa JCPOA na hatua za pamoja kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo
Sep 30, 2018 04:04Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akiyakosoa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalitiwa saini Julai 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo Marekani akiyataja kuwa makubaliano mabaya kabisa.
-
EU kuunda 'chombo maalumu' cha kufanikisha biashara na Iran
Sep 25, 2018 04:36Nchi zilizosalia kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kama JCPOA zimeazimia kuunda 'chombo maalumu' kitakachofanikisha mabadilishano ya kibiashara na Tehran kama sehemu moja ya kuyanusuru mapatano hayo yaliyotiwa saini Julai 2015 mjini Vienna Austria.
-
Maafisa wa zamani wa serikali Marekani wamtaka Trump arejee kwenye JCPOA
Sep 24, 2018 03:16Zaidi ya maafisa 50 wa zamani wa masuala ya usalama, siasa na jeshi wa Marekani wamesisitiza tena udharura wa nchi hiyo kurejea katika makubaliano ya nyuklia na Iran, kwa kifupi JCPOA.
-
Zarif: Marekani "imeyakejeli" matakwa ya kutaka amani
Sep 20, 2018 23:26Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Marekani imeyafanyia kejeli matakwa ya amani.
-
Sisitizo la IAEA la kutekeza Iran makubaliano ya nyuklia; na njama mpya za Donald Trump dhidi ya JCPOA
Sep 18, 2018 07:06Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) yalitiwa saini Julai 2015 mjini Vienna Austria baina ya Iran na kundi la 5+1, linaloundwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, China, Russia pamoja na Ujerumani na kuanza kutekelezwa Januari 2016.
-
Yukiya Amano asisitiza tena kwamba, Iran imetekeleza ahadi zake kuhusu JCPOA
Sep 17, 2018 11:12Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba, Iran imekuwa ikitekeleza ahadi zake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.