Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Iran: Kamwe hatutorudi nyuma katika kuyaunga mkono mataifa yanayodhulumiwa

    Iran: Kamwe hatutorudi nyuma katika kuyaunga mkono mataifa yanayodhulumiwa

    May 28, 2018 21:09

    Mkuu wa Chombo cha Mahakama cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran kamwe haitolezegeza kamba katika kulinda malengo yake matukufu na thamani zake za kimsingi ikiwa ni pamoja na kuwaunga mkono wanyonge na kufanikisha malengo yake mengine ya Kiistratijia.

  • Umoja wa Ulaya: Tutayalinda mapatano ya nyuklia ya Iran licha ya Marekani kujitoa + Video

    Umoja wa Ulaya: Tutayalinda mapatano ya nyuklia ya Iran licha ya Marekani kujitoa + Video

    May 28, 2018 10:58

    Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo umeazimia kikweli kweli kuyalinda mapatano ya nyuklia yaliyofikiwa mwaka 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1, licha ya Marekani kujitoa katika mapatano hayo ya kimataifa.

  • Maendeleo yamepatikana katika mazungumzo ya nyuklia ya Iran na Ulaya

    Maendeleo yamepatikana katika mazungumzo ya nyuklia ya Iran na Ulaya

    May 28, 2018 02:56

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika kipindi cha wiki mbili zilizopita kumepatikana maendeleo mazuri katika mazungumzo baina ya Iran na nchi za Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA, lakini bado matoeko yanayofaa hayajapatikana.

  • Iran: Iwapo Ulaya inakusudia kupoteza wakati, basi Tehran haitoendelea na mazungumzo ya JCPOA

    Iran: Iwapo Ulaya inakusudia kupoteza wakati, basi Tehran haitoendelea na mazungumzo ya JCPOA

    May 27, 2018 09:23

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyed Abbas Araqchi amesema kuwa iwapo Tehran itahisi kwamba mazungumzo na Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuendelea na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanaenda kinyume na makusudio au kwamba yanapoteza muda, basi haitoendelea na mazungumzo hayo.

  • Rais Rouhani: Hatua zilizochukuliwa hadi sasa ni chanya kwa ajili ya kuendeleza JCPOA

    Rais Rouhani: Hatua zilizochukuliwa hadi sasa ni chanya kwa ajili ya kuendeleza JCPOA

    May 27, 2018 03:12

    Rais Hassan Rouhani amesema, baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya JCPOA waliowengi katika jamii ya kimataifa wameipa haki Iran na kuyatetea makubaliano hayo na kuongeza kwamba hatua zilizochukuliwa hadi sasa ni nzuri kwa ajili ya kuendeleza makubaliano hayo ya nyuklia.

  • Zarif: Iran haijafanya mazungumzo na Ulaya kuhusu uwezo wake wa makombora na ushawishi kieneo

    Zarif: Iran haijafanya mazungumzo na Ulaya kuhusu uwezo wake wa makombora na ushawishi kieneo

    May 26, 2018 10:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekanusha kuwepo mazungumzo na nchi za Ulaya kuhusu uwezo wa makombora ya Tehran wala kuhusu ushawishi wake katika eneo.

  • Russia: Baada ya kujiondoa JCPOA, Marekani haina haki yoyote kuhusiana na makubaliano hayo

    Russia: Baada ya kujiondoa JCPOA, Marekani haina haki yoyote kuhusiana na makubaliano hayo

    May 26, 2018 02:47

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesisitiza kwamba kitendo cha Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), kimeiondolea nchi hiyo haki yoyote kuhusiana na makubaliano hayo.

  • Sisitizo la Putin na Macron la kulindwa mapatano ya JCPOA

    Sisitizo la Putin na Macron la kulindwa mapatano ya JCPOA

    May 25, 2018 09:04

    Akizungumza mara tu baada ya kuonana na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza juu ya umuhimu wa kulindwa mapatano ya nyuklia kati ya Iran na nchi kubwa za dunia, mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kuusifu msimamo wa Ufaransa na nchi nyingine za Ulaya kuhusiana na kudumishwa utekelezaji wa mapatano hayo.

  • Mogherini: Kuyadumisha makubaliano ya JCPOA ni mtihani kwa Umoja wa Ulaya

    Mogherini: Kuyadumisha makubaliano ya JCPOA ni mtihani kwa Umoja wa Ulaya

    May 24, 2018 22:49

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema kuyalinda na kuyadumisha makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni mtihani kwa Umoja wa Ulaya.

  • Kiongozi Muadhamu: Ikiwa Ulaya itazembea,  lran ina haki ya kuanzisha shughuli zake za nyuklia

    Kiongozi Muadhamu: Ikiwa Ulaya itazembea, lran ina haki ya kuanzisha shughuli zake za nyuklia

    May 24, 2018 00:21

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria uadui wa msingi, wa kina na endelevu wa Marekani dhidi ya mfumo wa Kiislamu na taifa la Iran na kusisitiza kwamba bila shaka Iran itaishinda tu Marekani iwapo viongozi wa Iran watatekeleza vilivyo majukumu yao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS