Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Iran iko tayari kukabiliana na chokochoko yoyote ya Marekani

    Iran iko tayari kukabiliana na chokochoko yoyote ya Marekani

    Sep 21, 2017 02:35

    Afisa wa ngazi za juu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa, iwapo Markeani itakiuka mapatano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Uteekelzaji, JCPOA, Iran iko tayari kuanza upya shughuli zake zote za nyuklia.

  • Rouhani: Aliyeanza kukiuka JCPOA amechagua njia ya kutengwa; tunamsubiri Trump awaombe radhi wananchi wa Iran

    Rouhani: Aliyeanza kukiuka JCPOA amechagua njia ya kutengwa; tunamsubiri Trump awaombe radhi wananchi wa Iran

    Sep 21, 2017 00:12

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa makubaliano ya JCPOA si makubaliano ya pande mbili na kwamba nchi yoyote itakayoanza kukiuka makubaliano hayo na kukiuka ahadi zake itakuwa imechagua njia ya kutengwa.

  • Rais wa Ufaransa, Mkuu wa Sera za Kigeni EU watetea mapatano ya nyuklia ya Iran

    Rais wa Ufaransa, Mkuu wa Sera za Kigeni EU watetea mapatano ya nyuklia ya Iran

    Sep 19, 2017 23:24

    Rais wa Ufaransa amesema nchi yake itatetea mapatano ya nyuklia baina ya Iran na madola sita duniani katika vikao vya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linalokutana mjini New York.

  • Rais Rouhani: Iran itatoa jibu kali kwa atakayekiuka haki ya mapatano ya JCPOA

    Rais Rouhani: Iran itatoa jibu kali kwa atakayekiuka haki ya mapatano ya JCPOA

    Sep 18, 2017 03:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitoanza kukiuka kwa aina yoyote makubaliano ya kimataifa, lakini ikiwa upande wa pili umekusudia kukiuka haki ya raia wa Iran, basi Tehran itatoa jibu kali katika uwanja huo.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu uafiriti wa Marekani juu ya JCPOA

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu uafiriti wa Marekani juu ya JCPOA

    Sep 18, 2017 01:40

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Iran amezungumzia uafiriti na ukhabithi wa Marekani kuhusu makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA na kusisitiza kuwa, kosa lolote litakalofanywa kuhusu makubaliano hayo litapata majibu kutoka kwa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Amiri Jeshi Mkuu Iran: Hatua yoyote ghalati kuhusu JCPOA itakabiliwa na jibu la Iran

    Amiri Jeshi Mkuu Iran: Hatua yoyote ghalati kuhusu JCPOA itakabiliwa na jibu la Iran

    Sep 17, 2017 09:22

    Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vyote vya kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Taifa la Iran limesimama kidete na litaoa jibu kwa hatua yoyote ghalati kuhusu mapatano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA.

  • Rais Rouhani wa Iran aelekea New York katika mkutano wa UN

    Rais Rouhani wa Iran aelekea New York katika mkutano wa UN

    Sep 17, 2017 03:21

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni kwa maslahi ya amani na uthabiti sio tu kwa eneo hili la Mashariki ya Kati bali kwa dunia nzima.

  • Rais Rouhani: Umoja wa Ulaya uipatie Marekani ujumbe wa wazi kabisa kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Rais Rouhani: Umoja wa Ulaya uipatie Marekani ujumbe wa wazi kabisa kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Sep 16, 2017 09:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria ukiukaji wa Marekani wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) amesisitiza kwamba, Tehran inataraji kuuona Umoja wa Ulaya kwanza ukiyafanyia kazi kivitendo makubaliano hayo na pili, ukiishinikiza Marekani ili itekeleze kikamilifu makubaliano hayo.

  • EU yaunga mkono kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya JCPOA

    EU yaunga mkono kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya JCPOA

    Sep 13, 2017 10:28

    Umoja wa Ulaya (EU) umeunga mkono kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Yukiya Amano: Iran inatekeleza ahadi zake kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Yukiya Amano: Iran inatekeleza ahadi zake kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Sep 11, 2017 11:17

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwa mara nyingine tena amethibitisha kwamba, Iran imeheshimu na kufungamana na ahadi zake zote kuhusiana na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS