-
Watoto wachanga watano wafariki Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali
Feb 25, 2025 10:59Watoto wachanga watano wamefariki dunia katika Ukanda wa Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali katika eneo hilo lililowekewa mzingiro na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuzuiwa kuingizwa misaada ya kibinadamu ikiwemo ya vifaa vya huduma za tiba.
-
Magereza ya Uingereza; uwanja wa kujifaragua magenge ya uhalifu
Jan 15, 2025 07:38Mkaguzi Mkuu wa Magereza nchini Uingereza ametahadharisha kuwa matumizi ya ndege zisizo na rubani (droni) kuingiza silaha na mihadarati katika magereza ya nchi hiyo ni tishio kwa usalama wa taifa licha ya ulinzi mkali uliopo.
-
Mwaka mmoja baada ya Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa; Israel yaendeleza mauaji ya kimbari
Oct 07, 2024 07:25Jumatatu ya leo 7 Oktoba inasadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ilipotekeleza Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Kuongezeka watoto wa Kipalestina katika magereza ya Israel
Nov 22, 2022 10:39Wizara ya Mateka na Wafungwa wa Kipalestina Walioachiliwa Huru kutoka gerezani imetangaza kuwa, hivi sasa kuna watoto 170 wa Kipalestina katika magereza ya Israel huku watano kati yao wakishikiliwa pasi na kuelezwa tuhuma na makosa yao.
-
Newsweek: Trump yumkini akafungwa jela miaka mitano
Feb 21, 2022 01:13Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, huenda akafungwa jela miaka mitano kwa madai kwamba alichukua nyaraka za siri za Ikulu ya Rais wa Marekani kuhusiana na usalama wa taifa alipoondoka madarakani mwaka jana.
-
Sauti ya mlipuko yasikika Baghdad mji mkuu wa Iraq
Jan 24, 2022 08:17Duru za habari zimearifu kuwa sauti ya mlipuko imesikika mapema leo magharibi mwa Baghdad mji mkuu wa Iraq.
-
Shirika la kutetea haki za binadamu la Sanad: Jela za Saudia ni makaburi ya waandishi wa habari
Nov 16, 2021 06:52Shirika la kutetea haki za binadamu la Sanad limeripoti kuwa jela za Saudi Arabia zimekuwa makaburi ya waandishi wa habari wanaoukosoa utawala wa kifalme wa nchi hiyo.
-
Mauaji mengine ya kutisha gerezani yaripotiwa Ecuador
Nov 14, 2021 08:10Wafungwa wasiopungua 68 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika ghasia zilizotokea kwenye gereza moja nchini Ecuador.
-
Waasi washambulia gereza Nigeria, zaidi ya mahabusu 800 watoroka
Oct 24, 2021 07:51Idara ya Magereza ya Nigeria imetangaza kuwa watu waliokuwa wamejizatiti kwa silaha wameshambulia magereza moja huko kusini magharibi mwa nchi hiyo na kuachia huru mahabusu 837.
-
Wafungwa zaidi ya mia moja wauawa gerezani Ecuador, 6 kati yao wamekatwa vichwa
Sep 30, 2021 10:27Rais wa Jamhuri ya Ecuador ametangaza kuwa wafungwa wasiopungua 116 wameuawa na wengine karibu 80 wamejeruhiwa katika ghasia zilizotokea kwenye gereza moja nchini humo.