-
Marekani yatuhumiwa na ICC kutenda jinai za kivita Afghanistan
Nov 15, 2016 23:26Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ametoa taarifa akiituhumu Marekani kwamba, imetenda jinai za kivita nchini Afghanistan.
-
Rais wa zamani wa Chad ahukumiwa kifungo cha maisha jela Senegal
May 30, 2016 11:12Mahakama maalumu nchini Senegal imemhukumu kifungo cha maisha jela mtawala wa zamani wa kijeshi wa Chad, Hissene Habre baada ya kumpata na hatia ya kuhusika na kutenda jinai dhidi ya binadamu, utesaji na utumwa wa ngono.
-
Maonyesho ya jinai za Saudia nchini Yemen
Apr 07, 2016 23:26Wananchi wa mji mkuu wa Yemen, Sana'a wamefanya maonyesho ya picha, michoro na mabango yanayoakisi jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa kifalme wa Saudi Arabia dhidi ya raia wa Yemen
-
Saudia yadondosha mabomu sokoni Yemen
Feb 27, 2016 22:57Ndege za kivita za Saudi Arabia Jumamosi zilidondosha mabomu katika soko moja lenye idadi kubwa ya watu katika mkoa wa Sana'a nchini Yemen.