-
Mazungumzo ya kitaifa DRC, mijadala isiyo na natija
Sep 08, 2016 12:11Mazungumzo ya kitaifa ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yanaendelea kwa ajili ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo katika hali ambayo mivutano ya kisiasa ya ndani, mapigano na ukosefu wa amani kwenye maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo bado hayajapungua.
-
Makumi ya Maelfu waandamana dhidi ya Rais Joseph Kabila
Aug 01, 2016 04:08Makumi ya maelfu ya watu jana Jumapili waliandamana Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakipiga nara dhidi ya serikali na kuperurusha bendera za vyama vya upinzani. Wafanya maandamano wamemtaka Rais Joseph Kabila aondoke madarakani baada ya kumalizika muhula wake mwezi Novemba mwaka huu.
-
UN yataka uchaguzi mkuu DRC ufanyike mwishoni mwa mwaka huu
Jun 24, 2016 08:13Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limebainisha wasiwasi wake kuhusu kukamatwa kiongozi wa upinzani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, na limetaka uchaguzi wa rais nchini humo ufanyika mwishoni mwa mwaka huu kama inavyotakiwa na katiba ya nchi hiyo.
-
Mahakama ya kilele DRC: Kabila kusalia uongozini hata baada ya muhula wake kumalizika
May 12, 2016 06:49Mahakama ya Juu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kuwa huenda Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo akasalia madarakani hata baada ya kumalizika muhula wake iwapo uchaguzi mkuu utakosa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu.
-
Kiongozi wa Upinzani DRC atangaza rasmi kugombea urais
May 05, 2016 08:25Moise Katumbi, kiongozi mashuhuri wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC ametangaza rasmi nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi wa mwezi Novemba.
-
Tume ya uchaguzi DRC yataka muda zaidi kujitayarisha kwa ajili ya uchaguzi
Apr 30, 2016 07:55Tume Huru ya Uchaguzi Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENI) imeomba muda zaidi wa kujitayarisha kwa ajili ya kuandaa zoezi la uchaguzi wa rais.
-
Rais Kabila wa DRC atakiwa kuondoka madarakani
Mar 13, 2016 07:16Kamanda wa zamani katika Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amemtaka Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo kuondoka madarakani.