-
Bunge la Iraq kuanza kujadili mauaji ya kigaidi ya Luteni Qasem Soleimani
Nov 05, 2020 03:57Mjumbe mmoja wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq amesema kuwa, karibuni hivi bunge hilo litaanza kujadili faili la kuuliwa kigaidi na Marekani, Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Abu Mahdi al Muhandis na mashahidi wenzao wanane.
-
Iran yamuwekea vikwazo balozi wa Marekani nchini Iraq kwa ugaidi
Oct 24, 2020 07:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuwekea vikwazo Balozi wa Marekani nchini Iraq, Matthew Tueller kwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi.
-
Ujerumani yamshutumu vikali Trump kwa kutoa amri ya kuuliwa Luteni Soleimani
Sep 24, 2020 02:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amemshutumu na kumlaumu vikali rais wa Marekani, Donald Trump kwa kutoa amri ya kuuliwa Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Walinzi wa Mapiduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
Jenerali Salami: Kisasi cha Iran kwa mauaji ya Soleimani kitawalenga wahusika
Sep 19, 2020 12:53Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema hakuna chembe ya shaka kwamba Iran italipiza kisasi cha kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha SEPAH.
-
Afrika Kusini yakadhibisha tuhuma za Marekani dhidi ya Iran
Sep 19, 2020 11:04Baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, serikali ya Rais Donald Trump ilizidisha mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa shabaha ya eti kulemaza uchumi wa Iran na imekuwa ikitumia kila liwezekanalo kuanzisha vita vya kinafsi na kisaikolojia ikiwa ni pamoja na kutoa vitisho dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Salami: Tutaendeleza njia ya Shahidi Soleimani hadi Quds ikombolewe na maadui wa Uislamu waangamizwe
Aug 05, 2020 02:36Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kuhusu kulipizwa kisasi damu ya Shahiri Luteni Jenerali Qassem Soleimani na kuongeza kuwa: "Njia ya Shahidi Soleimani itaendelea hadi mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) utakapokombolewa na maaadui wote wa Uislamu wasambaratishwe na waondolewe katika nchi za Waislamu."
-
Velayati: Tutalipa kisasi kwa Marekani cha mauaji ya kigaidi ya Qassem Soleimani
Jul 25, 2020 02:43Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani ilikuwa jinai kubwa zaidi ya Marekani dhidi ya Iran baada ya Mapinduzi ya Kiislamu na kueleza kwamba, Iran italipa kisasi kwa mauaji hayo na hilo halina shaka.
-
Wasomi wa Iran kwa wenzao wa Asia Magharibi: Tushauriane kuhakikisha Marekani inaondoka katika eneo
Jul 23, 2020 04:16Maelfu ya wasomi na wenye vipawa nchini Iran kutoka vyuo vikuu vya akademia na vyuo vikuu vya kidini wamewaandikia barua maalumu wanaharakati wa kisiasa na kijamii wa nchi za eneo la Asia Magharibi wakitaka wabadilishane nao mawazo kuhusu njia za kitaalamu zitakazohakikisha Marekani inaondoka katika eneo hili.
-
UN yatahadharisha kuhusu athari mbaya za mauaji ya kigaidi ya Qassem Soleimani
Jul 14, 2020 02:33Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mauaji ya kiholela na kinyume cha sheria ametahadharisha kuhusiana na athari mbaya za ugaidi unaofanywa na Marekani duniani hususan mauaji yaliyofanywa na nchi hiyo dhidi ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi al Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
-
Mrengo wa al-Fat'h Iraq: Serikali iharakishe mashtaka dhidi ya Marekani UN kwa mauaji ya Al-Muhandis
Jul 13, 2020 04:07Muungano wa al-Fat'h katika Bunge la Iraq umeitaka serikali iharakishe mchakato wa kuwasilisha rasmi mashtaka Umoja wa Mataifa ya jinai iliyofanywa na Marekani ya kumuua kigaidi Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa al-Hashdu-Sha'abi.