-
Iran: Mauaji ya Soleimani ni mfano wa wazi wa ugaidi wa kiserikali
Jul 11, 2020 11:09Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu katika Umoja wa Mataifa amesema mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na jeshi la Marekani dhidi ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Luteni Jenerali Qassem Soleimani akiwa ugenini nchini Iraq ni mfano wa wazi wa ugaidi wa kiserikali.
-
Mauaji ya kigaidi ya Soleimani, ugaidi wa kiserikali wa Marekani na hatari dhidi ya usalama wa kimataifa
Jul 10, 2020 10:59Mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na jeshi la Marekani dhidi ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu akiwa ugenini nchini Iraq ni kielelezo cha wazi cha ukiukaji wa sheria za kimataifa na ugaidi wa kiserikali wa Marekani.
-
Iran: Mauaji ya kigaidi ya Jenerali Soleimani yalikiuka Hati ya UN
Jul 10, 2020 07:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mauaji ya kioga na kigaidi ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Luteni Jenerali Qassem Soleimani yaliyofanywa na jeshi katili la Marekani mapema mwaka huu nchini Iraq ni ukiukaji wa wazi wa Hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Faili la mauaji ya kigaidi ya Soleimani lawasilishwa mbele ya Baraza la Haki la UN
Jul 10, 2020 07:22Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema Marekani imeiweka dunia katika hatari kubwa ambayo haijawahi kushuhudiwa tena kutokana na hatua ya jeshi lake kumuua Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kamanda shahidi wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC).
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kukiuka sheria mauaji dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Jul 08, 2020 06:32Mnamo Januari 3 mwaka huu, jeshi la kigaidi la Marekani kwa amri ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump lilitenda jinai kwa kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran akiwa uraiani nchini Iraq tena akiwa mgeni rasmi wa serikali ya Baghdad.
-
Faili la kuuawa Qassim Soleimani: Iran yatoa waranti wa kutiwa mbaroni Trump
Jun 30, 2020 03:46Mwendesha Mashtaka wa Tehran ametoa waranti wa kutiwa mbaroni watu 36 akiwemo Rais Donald Trump wa Marekani wakihusishwa na mauaji ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) Luteni Jenerali Shahid Qassem Soleimani.
-
Ripoti ya kila mwaka ya Marekani kuhusu ugaidi; hila ya kujitia pambani ili kujivua na lawama
Jun 26, 2020 13:31Baada ya matukio ya Septemba 11, 2001, Marekani ilitumia kisingizio cha kupambana na ugaidi duniani ili kuzishambulia na kuzikalia kijeshi Afghanistan na Iraq.
-
Bunge la Marekani lapitisha sheria ya kumuwekea Trump vizingiti vya kuanzisha vita dhidi ya Iran
Mar 12, 2020 11:08Hatua za rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran katika fremu ya mashinikizo ya juu kabisa, na pia hatua za jinai zake za kigaidi kama ile amri aliyotoa ya kuuawa Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu mnamo Januari 2020 ni hatua ambazo zimeibua wasiwasi mkubwa katika Bunge la Marekani (Congress).
-
Louis Farakkhan amlaani Trump kwa kumuua Soleimani
Mar 04, 2020 04:26Louis Farrakhan, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Nation of Islam ya nchini Marekani amemlaani vikali Rais Donald Trump wa nchi hiyo kwa kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, jenerali Muirani aliyekuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi.
-
UN: Mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani yalikuwa kinyume cha sheria
Feb 19, 2020 12:58Tarehe 3 mwezi uliopita wa Januari Rais Donald Trump wa Marekani alikiuka sheria za kimataifa na kutoa amri ya kuuliwa kigaidi aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Luteni Jenerali Qassem Soleimani na wenzake kadhaa karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad nchini Iraq alikokuwa ameenda safarini kwa mwaliko rasmi wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo.