Jun 04, 2019 02:28
Afisa wa Kamisheni ya Kimataifa ya Haki za Binadamu katika eneo la Asia magharibi amesema kuwa, eneo kulikotokea milipuko ya meli za mafuta katika Bandari ya al Fujairah linadhibitiwa na askari wa Marekani, na utawala wa Kizayuni wa Israel ulihusika katika milipuko ya bandari hiyo huko Imarati.