Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Kenya na Somalia zakubaliana kushirikiana zaidi ili kuboresha hali ya usalama

    Kenya na Somalia zakubaliana kushirikiana zaidi ili kuboresha hali ya usalama

    Feb 06, 2023 22:56

    Serikali ya Kenya imetangaza kufungua tena mpaka wa nchi kavu wa nchi hiyo na Somalia kwa lengo la kuboresha hali ya usalama katika mipaka hiyo.

  • Watu 14 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani nchini Kenya

    Watu 14 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani nchini Kenya

    Feb 05, 2023 08:03

    Watu wasiopungua 14 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika barabara ya Lodwar- Kakuma eneo la Kakwamunyen, kaunti ya Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya.

  • Mkutano wa kilele wa Somalia waahidi kuchukua

    Mkutano wa kilele wa Somalia waahidi kuchukua "hatua ya mwisho" ya kulimaliza kundi la Al-Shabaab

    Feb 02, 2023 03:53

    Viongozi wa Somalia na nchi jirani wameahidi katika mkutano wa kilele uliofanyika jana Jumatano katika mji mkuu Somalia, Mogadishu, "kuchukua hatua za mwisho" dhidi ya kundi la Al-Shabaab.

  • Kikosi cha pili cha wanajeshi wa Kenya chawasili  DRC kusaidia mapambano dhidi ya waasi

    Kikosi cha pili cha wanajeshi wa Kenya chawasili DRC kusaidia mapambano dhidi ya waasi

    Nov 17, 2022 07:13

    Kundi la pili lal wanajeshi wa Kenya wamewasili katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lililoathiriwa na machafuko na hujuma za waasi. Wanajeshi hao wametumwa Kongo katika fremu ya kikosi cha kudumisha amani cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

  • Kundi la kwanza la wanajeshi wa Kenya latua mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Kundi la kwanza la wanajeshi wa Kenya latua mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Nov 13, 2022 01:13

    Wanajeshi wa Kenya jana Jumamosi walitua katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo' ambapo walilakiwa na maafisa husika na wanajeshi wa Kongo katika eneo.

  • Marubani wa Kenya Airways wasitisha mgomo, waanza kazi

    Marubani wa Kenya Airways wasitisha mgomo, waanza kazi

    Nov 09, 2022 07:34

    Marubani wa Kampuni ya ndege ya Kenya, Kenya Airways mapema leo wamerejea kazini baada ya muungano wao (Kalpa), kusitisha mgomo uliovuruga safari za ndege kwa siku kadhaa.

  • Shirika la Ndege la Kenya kuwapiga kalamu marubani waliogoma

    Shirika la Ndege la Kenya kuwapiga kalamu marubani waliogoma

    Nov 05, 2022 23:58

    Makumi ya maelfu ya wasafiri wa ndani na nje ya nchi wameachwa katika njiapanda katika viwanja vya ndege vya Kenya, baada ya safari zao kukatizwa kutokana na mgomo wa marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways (KQ).

  • Marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways kuanza mgomo kesho Jumamosi

    Marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways kuanza mgomo kesho Jumamosi

    Nov 04, 2022 07:52

    Marubani wa Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways, wanatarajiwa kuanza mgomo kesho kutilia mkazo madai yao ya mazingira bora ya kazi, licha ya mahakama ya nchi hiyo kuamuru mgomo huo usitishwe.

  • Rais wa Kenya atangaza vita dhidi ya waasi wa M23 wa DRC

    Rais wa Kenya atangaza vita dhidi ya waasi wa M23 wa DRC

    Nov 02, 2022 23:00

    Rais William Ruto wa Kenya ametangaza habari ya kutumwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanajeshi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki, kwenda kukabiliana na magenge ya wanamgambo likiwemo kundi la waasi la M23.

  • Maisha ya Wakenya milioni nne na laki tatu yako hatarini kutokana na baa la njaa

    Maisha ya Wakenya milioni nne na laki tatu yako hatarini kutokana na baa la njaa

    Oct 08, 2022 03:49

    Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua za kutosha unahatarisha maisha ya mamilioni ya raia katika eneo la Pembe ya Afrika wakati mashirika ya kutoa misaada yanaendelea kuihimiza jamii ya kimataifa iwasaidie raia wanaoendelea kutaabika kutokana na baa la njaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS