Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • 'Al-Shabaab' yateka basi na kuua abiria kaunti ya Lamu, Kenya

    'Al-Shabaab' yateka basi na kuua abiria kaunti ya Lamu, Kenya

    Jan 02, 2020 10:02

    Kwa akali watu watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la kigaidi la al-Shabaab kuteka nyara basi la abiria katika kaunti ya Lamu, pwani ya Kenya.

  • Familia zaidi ya 6000 zaathiriwa na mafuriko magharibi mwa Kenya

    Familia zaidi ya 6000 zaathiriwa na mafuriko magharibi mwa Kenya

    Dec 29, 2019 04:25

    Afisa wa serikali ya Kenya jana alisema kuwa familia zaidi ya 6000 katika mji wa Kisumu magharibi mwa nchi hiyo zimeathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyoanza mapema wiki jana katika mkesha wa Krismasi.

  • Wakenya wanaoishi nje ya nchi watuma nyumbani dola bilioni 2.546

    Wakenya wanaoishi nje ya nchi watuma nyumbani dola bilioni 2.546

    Dec 21, 2019 21:45

    Raia wa Kenya wanaoishi na kufanya kazi nje ya nchi hiyo wametuma nyumbani dola bilioni 2.546 za Kimarekani sawa na Ksh. bilioni 256.4 katika kipindi cha miezi 11 ya mwaka 2019 ikiwa ni ongezeko la asilimia 3.8 ikilinganishwa na kipindi sawa na hicho mwaka jana.

  • Gavana wa Nairobi apandishwa kizimbani, akana mashtaka yanayomkabili

    Gavana wa Nairobi apandishwa kizimbani, akana mashtaka yanayomkabili

    Dec 09, 2019 08:54

    Gavana wa jiji la Nairobi nchini Kenya Mike Mbuvi Sonko, amekana mashtaka yanayomkabili, ya ufisadi na uhalifu wa kiuchumi unaohusisha mamilioni ya dola, wakati alipofikishwa mahakamani mapema leo.

  • Shambulizi la al-Shabaab dhidi ya basi la abiria laua 10 Kenya

    Shambulizi la al-Shabaab dhidi ya basi la abiria laua 10 Kenya

    Dec 07, 2019 03:45

    Watu 10 wamethibitishwa kuuawa katika shambulizi dhidi ya basi la abiria linaloaminika kufanywa na genge la kigaidi na kitakfiri al-Shabaab katika kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya mpakani na Somalia.

  • Viongozi wa Kenya wazindua ripoti ya BBI + Sauti

    Viongozi wa Kenya wazindua ripoti ya BBI + Sauti

    Nov 28, 2019 03:32

    Viongozi nchini Kenya wamezindua ripoti ya uwiano na utangamano wa kisiasa huku wakifanya juhudi za kuleta muamko mpya wa kisiasa na mshikamano katika kila fani ya maisha nchini humo. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa...

  • Zaidi ya familia 50 zahamishwa katika mpaka wa Uganda na Kenya kutokana na mafuriko + Sauti

    Zaidi ya familia 50 zahamishwa katika mpaka wa Uganda na Kenya kutokana na mafuriko + Sauti

    Nov 25, 2019 12:10

    Familia zaidi ya 50 zimehamishwa kutoka kwenye mpaka wa Uganda na Kenya kutokana na kuhofia maafa yanayoweza kusababishwa na mvua kubwa zinazonyesha mfululizo. Kigozi Ismail na ripoti zaidi kutoka Kampala.

  • SAUTI, Mkasa wa kusikitisha kuhusiana na tukio la maporomoko ya ardhi na mafuriko nchini Kenya

    SAUTI, Mkasa wa kusikitisha kuhusiana na tukio la maporomoko ya ardhi na mafuriko nchini Kenya

    Nov 25, 2019 07:40

    Viongozi wa serikali ya Kenya wametangaza habari ya kuongezeka idadi ya wahanga wa mafuriko na maporomoko ya ardhi kuwa imefikia watu 60.

  • Watu 24 wapoteza maisha katika maporomoko ya ardhi Kenya

    Watu 24 wapoteza maisha katika maporomoko ya ardhi Kenya

    Nov 23, 2019 09:44

    Watu wasiopungua 24 wamepoteza maisha magharibi mwa Kenya kufuatia maporomoko ya ardhi katika Kaunti ya West Pokot.

  • UNFPA yataka dhuluma dhidi ya wanawake katika jamii zikomeshwe

    UNFPA yataka dhuluma dhidi ya wanawake katika jamii zikomeshwe

    Nov 14, 2019 10:58

    Mmoja kati ya wanawake watatu duniani hukumbana na dhuluma za kijinsia kutoka kwa wapenzi au waume zao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS