Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Rais Kenyatta afuta ajenda ya ubaradhuli katika Kongamano la Kimataifa Nairobi

    Rais Kenyatta afuta ajenda ya ubaradhuli katika Kongamano la Kimataifa Nairobi

    Nov 10, 2019 03:57

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amefutilia mbali mpango wowote wa kujumuishwa kadhia ya ubaradhuli kama moja ya ajenda za Kongamano la Kimataifa la Idadi ya Watu litakalofanyika wiki ijayo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Nairobi.

  • Wakenya laki moja waishtaki Uingereza kutokana na jinai za ukoloni wake

    Wakenya laki moja waishtaki Uingereza kutokana na jinai za ukoloni wake

    Oct 30, 2019 10:31

    Zaidi ya Wakenya 100,000 wamewasilisha mashtaka kwa Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala wa kikoloni wa Uingereza kutokana na jinai ya kuwapora ardhi zao zenye rutuba na kuwapeleka sehemu kame.

  • SAUTI, Serikali ya Kenya: Hadi sasa watu 29 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko ya mvua zinazonyesha nchini

    SAUTI, Serikali ya Kenya: Hadi sasa watu 29 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko ya mvua zinazonyesha nchini

    Oct 24, 2019 13:24

    Serikali ya Kenya imethibitisha kufariki dunia watu 29 kutokana na mafuriko yanayotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.

  • Kenya yaomba msaada wa UN kupambana na majangili + Sauti

    Kenya yaomba msaada wa UN kupambana na majangili + Sauti

    Oct 24, 2019 04:07

    Kenya imesalimu amri na kuuomba Umoja wa Mataifa uisaidie kukabiliana na biashara za uwindaji haramu. Serikali ya Kenya imesema, licha ya juhudi zake za kupambana na ujangili, lakini bado kazi ni pevu na inahitajia msaada wa kimataifa. Mwandishi wetu Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa, Kenya.

  • Kipchoge wa Kenya aweka historia mbio za Marathon, akimbia chini ya masaa mawili

    Kipchoge wa Kenya aweka historia mbio za Marathon, akimbia chini ya masaa mawili

    Oct 12, 2019 09:03

    Bingwa wa mbio za Marathon duniani, Eliud Kipchoge wa Kenya amekuwa mwanadamu wa kwanza katika mbio za marathon kukimbia kilomita 42 chini ya saa mbili.

  • Kenya ina idadi kubwa ya watumiaji wa dawa za kulevya

    Kenya ina idadi kubwa ya watumiaji wa dawa za kulevya

    Oct 08, 2019 00:59

    Wizara ya Afya ya Kenya imeripoti kuwa nchi hiyo inaendelea kushuhudia watumiaji wengi za madawa ya kulevya.

  • ICJ kuangalia upya ombi la Kenya juu ya mzozo wa mpaka wa bahari na Somalia

    ICJ kuangalia upya ombi la Kenya juu ya mzozo wa mpaka wa bahari na Somalia

    Oct 05, 2019 23:21

    Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) inatazamiwa wiki ijayo kuangalia upya ombi la Kenya la kutaka kuakhirishwa kwa muda wa mwaka mmoja kesi ya mzozo wa mpaka wa baharini baina ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki na Somalia.

  • Kenya yatangaza kampeni kubwa ya kupambana na silaha haramu + Sauti

    Kenya yatangaza kampeni kubwa ya kupambana na silaha haramu + Sauti

    Sep 26, 2019 22:59

    Msemaji wa serikali ya Kenya amesema kuwa watatumia mkono wa chuma kukabiliana na wale wote wanaomiliki silaha haramu nchini humo. Amesema watu hao watahesabiwa ni wahalifu wenye silaha hatari kwa maisha ya raia. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa, Kenya.

  • SAUTI, Serikali ya Kenya yaahidi kuchukua hatua kali kufuatia mkasa wa kuporomoka kwa paa ya shule iliyoua wanafunzi

    SAUTI, Serikali ya Kenya yaahidi kuchukua hatua kali kufuatia mkasa wa kuporomoka kwa paa ya shule iliyoua wanafunzi

    Sep 23, 2019 13:42

    Nchini Kenya huzuni imeendelea kutawala kufuatia kuporomoka kwa paa ya darasa ya Shule ya Precious Talent mjini Nairobi mapema Asubuhi ya leo na kusababisha maafa kwa wanafunzi wa shule hiyo.

  •  ICJ yaakhirisha kesi ya mzozo wa Kenya na Somalia kuhusu mpaka wa bahari

    ICJ yaakhirisha kesi ya mzozo wa Kenya na Somalia kuhusu mpaka wa bahari

    Sep 06, 2019 08:05

    Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imeahirisha kwa muda wa miezi miwili kusikilizwa kesi ya mzozo wa mpaka wa baharini baina ya Somalia na Kenya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS